Startv hatuwapati kwenye startimes toka jana kulikoni?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Mimi mtumiaji wa kisimbuzi cha star times toka Jana startv hatuwapati kwenye dish jee wenzangu mnawapata wenye visimbuzi vingine? Au kwangu kuna shida karibuni wadau.
 
Satellite receiver(decoder) ya startimes wanayochukulia channel ya start tv imeroga hadi warekebishe, backup hawana!!
 
Back
Top Bottom