Top 10 ya utovu wa nidhamu uliofanywa na mtoto wa kiume ambao umewahi kuushuhudia au kusimuliwa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,908
Points
2,000

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,908 2,000
No.1: Unahumuhusu mzee mmoja msomi na mwalimu wa chuo kikuu. Degree yake ya pili na ya tatu alisomea Uingereza kisha akarudi bongo. Watoto wake alikuwa anawalea kizungu sana. Infact mmoja kati ya watoto wake alikuwa classmate wangu shule ya msingi.

Huyu watoto wake wa kiume kumtukana tusi la mama ilikuwa jambo la kawaida sana.

Watoto wake walikuwa wanaenda kuchukua malaya sinza au mademu wa mtaani wanawagonga usiku kucha halafu ikifika asubuhi demu ana elekezwa aende kugonga chumbani kwa baba apewe hela yake baba akifungua demu anasema anaomba hela alilala na ( jina la mtoto husika ).

Baba akiambiwa hivyo anazama ndani anatoa hela anampa demu kisha anarudi zake kulala.

Source: x wa mmoja kati ya watoto wa mzee huyo ambae aliwahi kuwa demu wangu wa kusafishia rungu.

Wewe umewahi kushuhudia jambo gani? Share with us ur story
 
EP PRO

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
7,326
Points
2,000

EP PRO

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
7,326 2,000
Kuna scenario moja niliwahi hadithiwa. Vijiweni huko, kumhusu maza mmoja na mwanaye.

Huyu mama alikuwa ni single maza, kipindi anapata mimba ya mume wa mtu, familia ilishinikiza aitoe hiyo mimba. Kwa kuwa naye alikuwa hajui kuwa alikuwa mume wa mtu, alikuwa heart broken sana, family inamsaliti asiopo toa mimba itamtenga, na huyo mwanaume alimdanganya sana.

Alichoamua ni ku struggle, alone na upendo woote alihamisha kwa mimba hatimaye ikazaa mtoto wa kiume, ndipo akahamia mtaa huu wa kwetu.

Alikuwa anampenda sana, mwanawe aisee, kamlea kisasa sana, alikuwa hataki kukaa mbali na mwanaye kabisa, muda ambao wanatengana ni ule tu, dogo akiwa shule na yeye kazini, muda wa kutoka ata mfata na kurudi wote home. ,

Alikuwa rafiki kwake, na kila kitu. Alikuwa akilala na mwanaye tangu akiwa mdogo. Hadi ukubwan kidi anafika miaka kumi na kitu, ilikuwa mazoea aisee, hajui jinsi ya kuacha hiyo hali.

Dogo, akafika teenage aiseee., hatujui first time ilikuwaje maan hakuna aliyekuwepo usiko huo, lakini Kid akaanza uhusiano na mama yake, yaaani wanakulana mzigo.

Hii ilijukana, maan hakunaga siri dunian, mambo yalikuwa meng ngoj niishie hapa
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
3,185
Points
2,000

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
3,185 2,000

eeeeh....
 
Dah so sad story to hear
 
Pips Man

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Messages
1,135
Points
2,000

Pips Man

JF-Expert Member
Joined May 9, 2014
1,135 2,000
No.1: Unahumuhusu mzee mmoja msomi na mwalimu wa chuo kikuu. Degree yake ya pili na ya tatu alisomea Uingereza kisha akarudi bongo. Watoto wake alikuwa anawalea kizungu sana. Infact mmoja kati ya watoto wake alikuwa classmate wangu shule ya msingi.

Huyu watoto wake wa kiume kumtukana tusi la mama ilikuwa jambo la kawaida sana.

Watoto wake walikuwa wanaenda kuchukua malaya sinza au mademu wa mtaani wanawagonga usiku kucha halafu ikifika asubuhi demu ana elekezwa aende kugonga chumbani kwa baba apewe hela yake baba akifungua demu anasema anaomba hela alilala na ( jina la mtoto husika ).

Baba akiambiwa hivyo anazama ndani anatoa hela anampa demu kisha anarudi zake kulala.

Source: x wa mmoja kati ya watoto wa mzee huyo ambae aliwahi kuwa demu wangu wa kusafishia rungu.

Wewe umewahi kushuhudia jambo gani? Share with us ur story
DUh..
Huo ni upumbavu kiwango cha lami
 
kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,986
Points
2,000

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,986 2,000
Kuna scenario moja niliwahi hadithiwa. Vijiweni huko, kumhusu maza mmoja na mwanaye.

Huyu mama alikuwa ni single maza, kipindi anapata mimba ya mume wa mtu, familia ilishinikiza aitoe hiyo mimba. Kwa kuwa naye alikuwa hajui kuwa alikuwa mume wa mtu, alikuwa heart broken sana, family inamsaliti asiopo toa mimba itamtenga, na huyo mwanaume alimdanganya sana.

Alichoamua ni ku struggle, alone na upendo woote alihamisha kwa mimba hatimaye ikazaa mtoto wa kiume, ndipo akahamia mtaa huu wa kwetu.

Alikuwa anampenda sana, mwanawe aisee, kamlea kisasa sana, alikuwa hataki kukaa mbali na mwanaye kabisa, muda ambao wanatengana ni ule tu, dogo akiwa shule na yeye kazini, muda wa kutoka ata mfata na kurudi wote home. ,

Alikuwa rafiki kwake, na kila kitu. Alikuwa akilala na mwanaye tangu akiwa mdogo. Hadi ukubwan kidi anafika miaka kumi na kitu, ilikuwa mazoea aisee, hajui jinsi ya kuacha hiyo hali.

Dogo, akafika teenage aiseee., hatujui first time ilikuwaje maan hakuna aliyekuwepo usiko huo, lakini Kid akaanza uhusiano na mama yake, yaaani wanakulana mzigo.

Hii ilijukana, maan hakunaga siri dunian, mambo yalikuwa meng ngoj niishie hapa
hatare
 
Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,849
Points
2,000

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,849 2,000
No.1: Unahumuhusu mzee mmoja msomi na mwalimu wa chuo kikuu. Degree yake ya pili na ya tatu alisomea Uingereza kisha akarudi bongo. Watoto wake alikuwa anawalea kizungu sana. Infact mmoja kati ya watoto wake alikuwa classmate wangu shule ya msingi.

Huyu watoto wake wa kiume kumtukana tusi la mama ilikuwa jambo la kawaida sana.

Watoto wake walikuwa wanaenda kuchukua malaya sinza au mademu wa mtaani wanawagonga usiku kucha halafu ikifika asubuhi demu ana elekezwa aende kugonga chumbani kwa baba apewe hela yake baba akifungua demu anasema anaomba hela alilala na ( jina la mtoto husika ).

Baba akiambiwa hivyo anazama ndani anatoa hela anampa demu kisha anarudi zake kulala.

Source: x wa mmoja kati ya watoto wa mzee huyo ambae aliwahi kuwa demu wangu wa kusafishia rungu.

Wewe umewahi kushuhudia jambo gani? Share with us ur story
Propesa wa jalalani katika ubora wake
 
dalaber

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Messages
1,824
Points
2,000

dalaber

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2014
1,824 2,000
Mchaga mmoja, marehemu sasa hivi, miaka hiyo ya 90 alimtandika mama yake mzazi bakora mchana kweupe, mbele ya watoto na mkwe..ile familia ilikuja kupukutika, alianza kufariki mtoto (first born), akafata baba, akafa mama, akafata mtoto wa pili... amebaki dogo tu wa mwisho peke yake anavuta bangi maisha yanasonga
 
APEFACE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Messages
3,318
Points
2,000

APEFACE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2016
3,318 2,000
Huyu watoto wake wa kiume kumtukana tusi la mama ilikuwa jambo la kawaida sana.
Mi nilishuhudia siku moja tumetoka na bro mmoja mitaa flani hivi kuna baa inaitwa Anamwana
Basi tukaenda chimbo flan hivi chocho chocho jamaa akawa anataka agonge glass ya gongo, maana pale Anamwana bia zilikuwa hazimkolei..Tukaingia nyumba flani hivi(kwa mama muuza)..akaja binti wa miaka kama 20..Akaniuliza kwa ukali "we unataka nini''..Nikamwambia ''nimekuja na Kaka angu huyu hapa''..akamgeukia bro (Mwakilulele) akamwambia ''alafu wewe na mindevu yako unakuja hapa kila siku unamtongoza fulani (Dada yake na huyo binti) hata hela humpi, mpumbavu mkubwa''. Basi kumbe muda wote anatufokea baba ake alikuwa anasikiliza...si akaja akaingilia kumuuliza mwanae kwanini anatutukana..Moto ndo ulipoanzia..mtoto wa kike akaanza kufurumusha matusi ya nguoni anamtukana baba yake, baba ake alivotaka kumpiga akakimbia nje huku akisema '' kyuma la mama ako nipe simu yangu''..nikagundua yule baba amepewa simu na mwanae ..baba ake alivoanza kumkimbiza Mama ake akasema ''baba fulani mwache mtoto''..kale kabinti kakaanza kurusha mawe juu ya bati huku kanamtukana baba ake matusi ya nguoni..ilikuwa majira ya saa 1na nusu jioni..Nikamwambia Mwakilulele tuondoke ..tukaondoka...lakini nilichogundua kwenye ile familia baba alikuwa hana sauti kuzidi mkewe...na watoto wake walikuwa wamepinda sana..alafu nyumba wanazouza gongo watu wanakuwa wamepinda sana....
 
Inasikitisha sana. Huyo mtoto lazima alikuwa anavuta bange
 
Forum statistics

Threads 1,381,734
Members 526,184
Posts 33,810,304
Top