steve_MOMO
Member
- Jun 21, 2019
- 44
- 11
Nikwel ukiwa nakitambi lazima uwe na pesa au japo kagari kaku buluzikia et
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo nisawa na mchaga bila mbegeSi kweli wako wengi wana vitambi mifuko yao hohehahe.
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wataka nitekwe ama nia nn haswaKitambi mwenzie ujinga kama unabisha nitajie mtu mmoja mwenye pesa na kitambi ambae sio mjinga
Kitambi mwenzie ujinga kama unabisha nitajie mtu mmoja mwenye pesa na kitambi ambae sio mjinga
[emoji23][emoji23][emoji23]angetoka 66 patHahahahaha nilikuwa nakata mitaa ya jiji nikakutana na jamaa mmoja tunafahamiana kitambi kama mimba ya miezi tisa tukasalimiana maana tulikuwa hatujaonana kipindi kirefu. Akaniambia Mkuu kama ujuavyo hali ni mbaya sana kiuchumi pale nilipokuwa napiga mzigo sipo tena kampuni ilifungwa. Mwaka wa tatu huu niko kitaa nistue basi nikapate mlo. Jamaa mmoja poa sana nilishangaa kule kitambi anakihudumia vipi kama hana ajira.
Kwahyo bola uwe modo mana siugojwaKitambi bad feeding,hayo mengine nikujifariji tu
Dah ndio umekuja kumsemea huku!Hahahahaha nilikuwa nakata mitaa ya jiji nikakutana na jamaa mmoja tunafahamiana kitambi kama mimba ya miezi tisa tukasalimiana maana tulikuwa hatujaonana kipindi kirefu. Akaniambia Mkuu kama ujuavyo hali ni mbaya sana kiuchumi pale nilipokuwa napiga mzigo sipo tena kampuni ilifungwa. Mwaka wa tatu huu niko kitaa nistue basi nikapate mlo. Jamaa mmoja poa sana nilishangaa kule kitambi anakihudumia vipi kama hana ajira.
Dah ndio umekuja kumsemea huku!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiMimi namiliki kitambi wakati nashinda njaa na kula mataputapu kwa mama ntilie. suruali size 38
Bora mara mia,maana huo ni ugonjwaKwahyo bola uwe modo mana siugojwa
Nasikia skia tetes et kitambi kinasababisha pia ndungunya tufup mashine piyeee[emoji23][emoji23]Bora mara mia,maana huo ni ugonjwa
Inawezekana ngoja watafiti waje na data zao watusaidieNasikia skia tetes et kitambi kinasababisha pia ndungunya tufup mashine piyeee[emoji23][emoji23]