Mungu wetu hajawai kuchelewa

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Ushuhuda
Kuna Mdada mmoja alimaliza chuo miaka 4 imepita , baada ya kumaliza chuo Mambo yakawa Mambo, ameingia mtaani hakuna ajila akatafuta huku na Kule hakapata mahali pa kujishikiza

Miaka ikaenda, mwaka WA Kwanza hakuna ajira , mwaka wa pili kapambana kila anapokwenda kwenye intervie Mambo hayakwendi vizuri

Miaka Ikawa inasogea binti WA watu akaolewa na Maisha yakaendelea , lakini changamoto Ikawa ni kazi , kwa masomo aliyosoma kupata kazi ya kujishikisha inawezekana lakini ndio hivyo tena kipato chake ni kidogo hata kukuzia naitaji ya familia ni shida

Binti WA watu hakuwai kuacha kumtegemea Mungu, hakuwai kumkasirikia Mungu kwamba mbona kuna wengine wanapata ajira lakini yeye Yuko Tu , aliendelea kumtegemea Mungu

Mwaka WA Tatu , ukapita mwaka WA mme ukapita , mwaka WA tano , Katika mwaka wake WA tano , akaona Tangazo la ajira

Kwakweli moyoni hakuwa na Amani Sana ya kufanya application ukizingatia kazi iliyotangazwa Hilo km 1000's na mji alioko , na hajawai kufika maeneo hayo

Lakini wapendwa wenzake wakamtia moyo kweli binti WA watu akafanya application na Mungu alivyokuwa mwaminifu , akachaguliwa kwenye interview , alipochaguliwa kwenye interview akamshukuru Mungu Kwa interview

Safari ya kwenda kwenye eneo la interview ikaanza , haikuwa Safari rahisi kutoka Dar es Salaam kwenda katika Mikoa ya kanda ya ziwa no Safari sio kidogo, kweli kaanza Safari akafika mkoa jirani ya kanda ya ziwa gari, imefika husika na kwa kipindi kile haikuwa inaendelea na Safari na kweli ilikuwa ni usiku Sana

Binti kapiga Hesabu kwenye interview ni Saa 3 asubuhi , na gari imelala kutoka hapo alipofikia Hadi mkoa alipokuwa anatenda kama masaa 4 kutokana na barabara ya roughly round.

Binti akaona kama kazi anakosa akatafuta taxi , pesa aliyolipa tax ilizidi nauli ya bus kutoka Dar es Salaam Hadi huo mkoa na kweli Safari inaendelea usiku kucha akafanikiwa kufika mkoa husika Saa 10 usiku , akapata nafasi ya pakulala ,akanianjaa hakulala akafanya maandalizi ya kwema kwenye interview

Na Mungu akipanga kweli binti WA watu akaingia kwenye interview mapema kabsa akapewa nafasi ya Kwanza akafanya vizuri kuliko wote ambao walitwa kwenye interview

Mungu alivyokuwa wa ajabu mshahara analipwa hata wale ambao alimaliza nao chuo miaka 5 ambao alimaliza nao miaka ile wachache Sana wanamsogelea

Kweli Mungu hakuwai kuchelewa unaweza kumwona Leo kwamba umechelewa ni Kwa sababu haujui ratiba za Mungu

Uliwai kusoma habari za miti ya bamboo iliyoko China? Wataalamu wanasema ule MTi unapandwa miaka 5 pasipo kuona Dalili ya kukua Kwa mti, Ila ule mwaka WA tano ukianza kukua unafika Mita 5 , usikute na wewe ni MTi WA bamboo hata kama mwaka wakwanza hakuna kinachoonekana usikate tamaa

Ulishawai kwenda porini Kwa wanyama , kuna tembo na wanyama wengine , ujauzito wa tembo unachukua miaka 3 lakini mbwa anazaa kila baada ya miezi 3, lakini ukiskia tembo amezaa kila mmoja anajua tembo kazaa , Kwa hiyo mtumani Mungu ukute ndani yako umebeba tembo unaitaji kuvumilia miaka kadhaa Mungu waga hachelewi

Mungu anawezi kukusahahu Kwa jinsi ya kawaida ni Raisi kukata tamaana maana sisi ni wandamua lakini neno la Mungu linatutia Moyo umesoma habari za Yusufu Yule WA Yakobo, unakumbuka miaka aliyokaa utumwa Kabla ya kuwa wazuri mkuu

Ndoto ya Yusufu ilitimia baada ya miaka 24 wakati anaota Ndoto alikuwa na miaka 13 lakini ndugu zake walikuja kumsujudia akiwa na miaka 37 , Mungu ni mwaminifu andelea kumwamni Mungu

Tusemeje Kwa habari ya Daudi anapakwa mafuta akiwa na umri WA miaka 17 na miaka 13 Yuko ya mateso na kuishi Pori Kwa Pori Hadi Anamika 30 ndio ahadi ya miaka 17 inatimia?

Je habari ya Ibrahimu Baba WA Imani? Ayubu na wengine Mungu ni muaminifu mwamini Mungu ndugu Yangu hakika atatenda , Mungu wetu no mwamninifu Sana weka Imani kwake naye atakuonekania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom