Nchi imekuwa ya ajabu ajabu tu.

Nchi imekuwa ya ajabu ajabu tu.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,790
Reaction score
4,265
Taifa limeharibika vibaya sana,viongozi wanajiona ni miungu watu,wanamiliki uhai wa kila mtu,rushwa inanuka kila ofisi na ALIYEJIPA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI KIHUNI NDIYE ANAHARARISHA,vyombo vya ulinzi na usalama havina utofauti na madada poa wa ubungo riverside.

Hii yote ni kwa sababu mifumo inaruhusu watu wajingawajinga kuwa na madaraka makubwa,li mtu lipolipo tu hata hesabu za sehemu haliwezi ila linakuwa Rais ,how comes?,li mtu kama hili unafikiri litafanya nini kwa manufaa ya taifa?.

Alitaki kukosolewa na halina akili za kutosha,lipolipo tu,unakuwa mwanasiasa hutaki kukosolewa si kakae na familia yako huko?,ukikosolewa unatuma watu wamteke aliyekukosoa.

Nchi imekuwa kama dieper iliyo na kinyesi,dolts
 

Attachments

  • 749022972_3510075665818056_7314571207038918740_n.jpg
    749022972_3510075665818056_7314571207038918740_n.jpg
    302.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom