Ulipo kuna umeme?

Ulipo kuna umeme?

Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?

Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe.^CM
 
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe.^CM
Tanesco wanataka jina wamsaidie ndugu mlalamikaji 😅😅😅
 
Tanesco wanataka jina wamsaidie ndugu mlalamikaji 😅😅😅
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja.

Tungependa kukufahamisha kuwa tunapopokea taarifa ya hitilafu, tunahitaji taarifa kama eneo unaloishi, Jina la mteja pamoja na namba ya simu ili kufungua taarifa hiyo rasmi kwenye mfumo wetu. Taarifa hizi hutuwezesha kutambua eneo lililoathirika, aliyewasilisha taarifa hio, kuwasiliana naye pale inapohitajika, na kukupatia namba ya kumbukumbu kwa ajili ya kufuatilia taarifa hiyo mpaka huduma itakaporejea. Asante.^CM
 
Back
Top Bottom