Hio ilikuwepo, maarufu kama Barakoa ya Buza.Hii barakoa imekaa kijanja Sana wakuu, ingekuja kipindi kile Cha Corona ingebamba Sana.
View attachment 3662013
Wanaume hatukuwa tunavaa bakoroa, hao waliokuwa wavaa sijui wanaume wa wapiHakuna kipindi tulichojiaibisha kama kipindi cha kuvaa barakoa za corona!
Unakuta ndume zima liko ndani ya gari limevaa barakoa limefunga na vioo kabisa!
Hivi akijamba inakuwaje?
Cc: binti kiziwi Lamomy Mbaga Jr Mwaka wa Mbele Supapawa Monetary doctor
wa daslamuWanaume hatukuwa tunavaa bakoroa, hao waliokuwa wavaa sijui wanaume wa wapi
wanakutazamawa daslamu
yupo makini sana kuzingatiaJamaa siku saba za wiki anavaa barakoa yule Mzee jau sana
Mbamizwa katumeniHakuna kipindi tulichojiaibisha kama kipindi cha kuvaa barakoa za corona!
Unakuta ndume zima liko ndani ya gari limevaa barakoa limefunga na vioo kabisa!
Hivi akijamba inakuwaje?
Cc: binti kiziwi Lamomy Mbaga Jr Mwaka wa Mbele Supapawa Monetary doctor