Chuo cha Uuguzi Mbozi mission

Chuo cha Uuguzi Mbozi mission

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,608
Reaction score
14,412
Wakuu habari.
Naomba kufahamishwa namna na gharama zote za nauli kutoka Mbeya mjini mpaka chuo cha uuguzi cha serikali cha Mbozi mission.

Nimeambiwa kipo mbele kidogo ya Mlowo Mbozi ila sijapata kujua sehem husika na gharama za kufika huko
 
Ni mbele ya Mlowo, Unashukia Kalasha. Kutoka Kalasha usafiri ni wa boda boda hadi Mbozi Mission. Uwe na 5000.
 
Anaeza tembea kwa miguu tuu, sio mbali sana. Nilikua natembeaga toka hapo Kalashya. Chini ya 8Km tuuu
 
Ahsante sana. Hiyo 5,000 ni ya boda boda a

Back
Top Bottom