Nashindwa kuelewa kwanini Bodi ya mkopo Tanzania inawaumiza watanzania kwa kiasi hicho.Nimeshangaa sana kuonana deni lazidi kuongezeka badala ya kupungua.Sasa nahisi itakuwa wanafanya biashara sio makubaliano tena ya kimkataba.Mama Ndalichako tunaomba uangalie hilo.