NAFASI NYINGINE (ONE MORE CHANCE)

Jan 13, 2018
38
60
Unaweza kuendelea kuishi maisha ya dhambi na anasa za dunia, unajindangaya kwamba Mungu akuoni au unaamini kwamba Mungu aweze kuhukumu ulimwengu unaona wanao tenda dhambi ni wengi kuliko wasiotenda dhambi

Ebu kaa na ufikiri jaribu kuvuta kumbukumbu zako vizuri angalia wale uliokuwa nao tangu utoto angalia vijana mliokuwa mnacheza nao anagalia vijana ambao walikuwa kaka zako angalia wazazi wako wazazi wa jirani zako angalia majirani angalia watu mliokuwa mtaa mmoja wako wapi?

Unaweza kujiona kwamba wewe ni wabahati sana ni kweli wewe ni wabahati maana Mungu amekupa maisha uliyonayo iliutambua kwamba ni kwa neema tu unaendelea kuishi umepewa nafasi nyingine ya kutengeneza maisha yako.

Kila siku tunapojariwa kuona jua linazama na tunapoingia kwenye usingizi hatujui nini kinaendelea usiku ni neema tunapata kuhamshwa na Mungu akituma neema iliyoko ndani ya Yesu Kristo.

Ndugu yangu auwezi kushiba vitu vya dunia kunawatu walizania kuwa na wanawake/ wanaume wengi ndowatajisikia raha badala yake wamekuwa ni watu wa mawazo na wasisi mkubwa, Mfame sulemaini alikuwa na wanawake 1000 lakini mwisho wa siku alisema ni ubatili mtupu maana aliona hakuna furaha yoyote aliyoipata kuwa na wanawake wote hapo, kuna watu walikuwa na pesa wakazani kuwa na pesa ndo watapata furaha mwisho wasiku wakajihua na kuhacha pesa zao

Ndugu yangu hatukuja na kitu duniani na tutaondoka bila kitu tumia muda wako vizuri badili maisha yako geuka mfate Yesu ndugu yangu uhai wako ni kama mvuke huko kwa kitambo .

Leo tuko sio kwamba ni wazuri sana , tuko tu kwasababu Mungu amtupa neema nikitazama tangu shule ya msingi mpaka leo watu tuliosoma nao ni wengi hawako duniani nikijiuliza mimi nimempa ninI Mungu sina cha kujibu ni neema tu ya Mungu leo ninapumua bure hakuna nilichompatia Mungu

Kama uko tayari kumpa Yesu maisha sema Bwana Yesu niko Mbelel yako naomba unisamehe naomba unirehemu dhambi zangu zote nilizozifanya futa jina langu kwa Damu ya Yesu katika kitabu cha hukumu andika jina langu katika kitabu cha mwana wa pendo lako kuanzia sasa najitoa kwako nikutumikie siku zote za maisha yangu
 
Amina. Ila pia tambua tupo kwa kusudio la Mungu, maisha mazuri ni kusudio la Mungu kwetu ila yapatikane kwa njia za haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom