Naipenda Facebook siwezi kuiacha

Naipenda Facebook siwezi kuiacha

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
919
naipenda sana facebook ni mtandao ambao asilimia kubwa watu wanaishi maisha halisi ukitaka kuamini angalia picha za rafiki yako wa fb angalia na picha alizopost insta.

ukitaka kupata mkopo sanasana branch wanakutaka uwe na fb kwa iyo fb inatusaidia kupata mkopo

ukisahau password halafu wakati unajiunga na mtandao mwengine ukalink na fb itakusaidia ku log in kwa wepesi

fb hakuna mambo ya kuvimbiana kama insta, insta utafollow mtu yeye hakufollow akimaanisha umemshobokea ,fb ukishajiunga na urafiki mnanufaika wote wote.

kupata demu fb ni rahisi

fb wanaishi Watanzania halisi
 
wengine tunafunga mwezi hivyo.sisi fb tunaitumia kivingine
mwekee.JPG
 
Inafurahisha Sana pale inapotu connect na wapendwa wetu tuliopotezana nao Muda mrefu Sana inafurahisha saanaa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naipenda sana facebook ni mtandao ambao asilimia kubwa watu wanaishi maisha halisi ukitaka kuamini angalia picha za rafiki yako wa fb angalia na picha alizopost insta.

ukitaka kupata mkopo sanasana branch wanakutaka uwe na fb kwa iyo fb inatusaidia kupata mkopo

ukisahau password halafu wakati unajiunga na mtandao mwengine ukalink na fb itakusaidia ku log in kwa wepesi

fb hakuna mambo ya kuvimbiana kama insta, insta utafollow mtu yeye hakufollow akimaanisha umemshobokea ,fb ukishajiunga na urafiki mnanufaika wote wote.

kupata demu fb ni rahisi

fb wanaishi Watanzania halisi
 
Sema Fb ndiyo mtandao mwepesi kutumia na una watu wengi changanyikeni mpaka wachunga ng'ombe tofauti na mitandao mingine imesheheni mastaa wengi au wanasiasa ndiyo wametamaliki huko.
 
Jf ni baba lao amuna ma picha picha Ila kilichomo ni zaidi ya picha
 
Back
Top Bottom