Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,393
- 1,217
Wajameni naombeni mwenye ufahamu wa kina anijuze ni kwa nini uchumi wa zimbabwe uliporomoka mpaka akawa hawezi hata kutumia pesa yake kwa matumizi ya ndani ya nchi!!!!
na sisi je hivi vikwazo mwisho wa siku wakituwekea na sisi?!Vikwazo vya kiuchumi alivyo wekewa na mabeberu baada ya kuwa nyanganya mashamba walowezi
na sisi je hivi vikwazo mwisho wa siku wakituwekea na sisi?!
unajua naogopa, are we in the right direction?!? nahofia yasijetukuta ya zimbabweVikwazo vya wakubwa hii ilitokea baada ya rais Mugabe kuja na Sera ya kuwanyan'ganya masha wawekezaji wakubwa kwenye kilimo kwa kiswahili cha wapigania Uhuru wanawaita mabwanyenye .
Baada ya kuwatimua wengi walikimbilia nchi jirani haaa Africa kusini,malawi na n.k yale mashamba akawapa wazimbabwe ambao walishindwa kuyalima na wengine wakayauza au kuyakodisha hili aliwahi kukili hata yeye kuwa wazimbabwe ni wavivu sana
Mashamba haya yalikuwa na viwanda ndani settle agriculture economy viwanda navyo vikafa maana vilikosa Mali ghafi
Watu wakakosa kazi na kukimbilia nje ,serkal ikakosa kodi ikashindwa kujiendesha ,ikafilisika
Baada ya kufilisika na nchi za ulaya zikaiwekea vikwazo hasa vya kuuza bidhaa ghafi nje yakawa mapigo juu ya mapigo,
Zamani Zimbabwe ilikuwa ndio kinara wa uchumi bora kusini mwa jangwa LA sahara hata sisi tulinunua chakula kwao
Ukikaa sana madarakani unakuwa zuzu na mipango inakuishia na mazoea yanakujaa
unajua naogopa, are we in the right direction?!? nahofia yasijetukuta ya zimbabwe
Wajameni naombeni mwenye ufahamu wa kina anijuze ni kwa nini uchumi wa zimbabwe uliporomoka mpaka akawa hawezi hata kutumia pesa yake kwa matumizi ya ndani ya nchi!!!!
Wajameni naombeni mwenye ufahamu wa kina anijuze ni kwa nini uchumi wa zimbabwe uliporomoka mpaka akawa hawezi hata kutumia pesa yake kwa matumizi ya ndani ya nchi!!!!
kama ni kweli napumua vizuri sasa, lakini bado nina wasiwasi kidogo,pamba hainunuliwi kwa nini?!?Hapana hatuna MTU wa kutufikisha huko
Vikwazo vya wakubwa hii ilitokea baada ya rais Mugabe kuja na Sera ya kuwanyan'ganya masha wawekezaji wakubwa kwenye kilimo kwa kiswahili cha wapigania Uhuru wanawaita mabwanyenye .
Baada ya kuwatimua wengi walikimbilia nchi jirani haaa Africa kusini,malawi na n.k yale mashamba akawapa wazimbabwe ambao walishindwa kuyalima na wengine wakayauza au kuyakodisha hili aliwahi kukili hata yeye kuwa wazimbabwe ni wavivu sana
Mashamba haya yalikuwa na viwanda ndani settle agriculture economy viwanda navyo vikafa maana vilikosa Mali ghafi
Watu wakakosa kazi na kukimbilia nje ,serkal ikakosa kodi ikashindwa kujiendesha ,ikafilisika
Baada ya kufilisika na nchi za ulaya zikaiwekea vikwazo hasa vya kuuza bidhaa ghafi nje yakawa mapigo juu ya mapigo,
Zamani Zimbabwe ilikuwa ndio kinara wa uchumi bora kusini mwa jangwa LA sahara hata sisi tulinunua chakula kwao
Ukikaa sana madarakani unakuwa zuzu na mipango inakuishia na mazoea yanakujaa
Hapana hatuna MTU wa kutufikisha huko
Wewe endelea kujiaminisha hivyo. Ila ukweli ni kuwa jiwe tayari keshatufikisha huko
It is only a matter of time now kabla hatujawa Zimbabwe na/au Venezuela nyingine
Hapo kwenye bold. Zimbabwe kama nchi haijawahi kuwekewa vikwazo vya aina yeyote isipokuwa nchi za magharibi ziliwawekea vikwazo Mugabe na washirika wake (vya kusafiri na kuzuia mali zao binafsi). Zimbabwe imeendelea kuuza bidhaa zake kama kawaida ila tatizo ilikuwa ni kushuka kwa uzalishaji.
uzalishaji wetu unashuka au unapanda?!?Hapo kwenye bold. Zimbabwe kama nchi haijawahi kuwekewa vikwazo vya aina yeyote isipokuwa nchi za magharibi ziliwawekea vikwazo Mugabe na washirika wake (vya kusafiri na kuzuia mali zao binafsi). Zimbabwe imeendelea kuuza bidhaa zake kama kawaida ila tatizo ilikuwa ni kushuka kwa uzalishaji.
uzalishaji wetu unashuka au unapanda?!?
Hivi...viwanda vya kuzalisha vitambaa tulivyonavyo havitoshi kununua pamba yote inayozalishwa na wakulima wetu?kama ni kweli napumua vizuri sasa, lakini bado nina wasiwasi kidogo,pamba hainunuliwi kwa nini?!?
ninavyojua awamu hii imedhamiria kuibadili TZ iwe ya Viwanda,lakini kama tunataka viwanda kupitia PPP, je tutatoboa?!? maana nasikia wafanyabiashara hawaishi kulalamikia viwango vya kodi na pia sheria ngumu zinazotungwa kila kukicha, lakini pia uhakika wa sera zetu zinabadilika kila asubuhi, nilishtuka majuzi wakati bunge la bajeti likiendela nikamskia mbunge mmoja akisema transporters wengi wa nchi hii sasa hivi wanaagiza magari wanayapeleka Rwanda au Zambia wanayasajili huko kwa sababu mfumo wa kodi kule ni rafiki!. nilishtuka sana, nikakumbuka kipindi cha nyuma wafanyabiashaar pale tunduma walifunga maduka/biashara zao wakaenda kuzifungua nakonde(Zambia) tukasema wacha waende!!!. najiuliza sana haya maswali wajameni!!!Unapanda na kushuka ,tatizo hapa tz ni viwanda hata pamba unazosema hapa shida in viwanda

kwa hiyo hiyo pamba ya ziada tutamuuzia nani mabeberu wakiisusa?!?, nakumbuka korosho hapaHivi...viwanda vya kuzalisha vitambaa tulivyonavyo havitoshi kununua pamba yote inayozalishwa na wakulima wetu?