Halafu wanaume wamesimama wanapiga picha.[emoji28][emoji28][emoji28]
Huko ni kuidhalilisha sare ya jeshi la polisi. Nia ilikuwa ni kupiga picha
Ha haaa anataka kutuonyesha nini huyo polisi? Eti cement Ina uzito wa kilo ngapi?Mapolis mmekuja kwa kasi
Ha haaa anataka kutuonyesha nini huyo polisi? Eti cement Ina uzito wa kilo ngapi?
😀 Kauzito kadunchu50 KG
Heavy hiyoo[emoji3] Kauzito kadunchu
mkuu kumbe ww ni askari??Shuhudia huyu dada askari wa kike akiwa katika sare za jeshi akibeba mifuko ya sementi katika kuunga juhudi za ujenzi nadhani utakuwa wa kituo cha polisi hapo kwao.
Hakika huu ni mfano wa kuigwa.
View attachment 1145185
hahaha...jaman waafrika kwa kupenda mambo ya ajabu hatujamboAlafu ana tako aisee.... Na manyota begani....
Yaaani tako ni kitu cha ajabu braza aaah aah dah.hahaha...jaman waafrika kwa kupenda mambo ya ajabu hatujambo