Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,072
Nimekuja kugundua kitu kimoja. Ukiangalia mataifa yote yaliyoendelea, kuna product ambazo huwezi zikosa kwenye top 3 ya exports zao. Tizama top exports za:
Marekani: Bidhaa za kula na vinywaji, mafuta, ndege, magari
China: Machinery, furniture, magari
Italy: Magari
Japan: Magari
Germany: Magari
France: Magari
UK: Magari
S.Korea: Magari
WHAT DOES ALL THIS TELL YOU?
Ina maana Afrika nzima (au hata Afrika Mashariki tu) tukishirikiana tunashindwa kweli kuwa na manufacturing industry nzuri ya magari? The key is to make a product that is competitive globally. Na tuna soko kubwa la ndani pia ambalo bado halijawa fully tapped.
Niliwahi kukutana na mjapan mmoja akaniuliza kama nchi yetu ina mpango wa kuja kutengeneza magari. Nikamjibu hapana akashangaa sana. "Hamjui kwamba magari ndio product inayoweza kuwatoa kwenye umaskini?"