Habari wote humu
Nimekuwa nasoma taarifa mbalimbali kuhusu mtajwa hapo juu, vile vile hapa jamii forum ilifikia kipindi hadi kuna 'hashtag' kibao za kuhamasisha utata wa kupotea kwa huyu kijana mwenzetu.
Cha ajabu sijaona uzi ukizungumzia kama alipatikana au hakupatikana na kama hakupatikana je yuko wapi? Hata zile 'hashtag' za kuhamasishana hakuna tena
Mzima au Alishatangulia mbele za haki? Hakika nahamu sana ya kujua swala hili kwa wale wanaofahamu swala hili liliishia wapi?
Au ulikuwa ni upepo flani hivi ulipita?
wiser1