Precast concrete technology for affordable house

Precast concrete technology for affordable house

Adabwash

Senior Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
145
Reaction score
292
Wadau Naomba mwenye idea, Elimu na upataikanaji wa huduma za ujenzi wa nyumba kwa Dar es salaam kwa kutumia technology niliyoiweka katika hiyo heading anijuze tafadhali,
Pia Faida na Hasara zake kwa mazingira yetu tafadhali.
 
Kwa Bongo hakuna. Huku upatikanaji na Cement, kokoto na mchanga ni rahisi sana. Pia bado hatuna uniformity ya design. Kila mmoja anataka yumba yake ionekane ki vyake hivyo upelekea ugumu wa kuanzisha uzalishaji wa pre-cast unit.
 
Back
Top Bottom