Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

sisi ni ndugu

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
121
Reaction score
138
Habarini wakuu, niko maeneo ya Ubungo na ningependa kwenda ofisi tajwa hapo juu

Anayejua ziliko tafadhali naomba anipe muongozo.

Asanteni!!
 
Panda gari za G/mboto shuka G/mboto mwisho uliza gari za Kisarawe utaonyeshwa nauli 400 /=mpaka Kisarawe ukifika Kisarawe chukua Bodaboda mwambie naenda Halmashauri nauli 1000 sie wa huku shamba huwa tunaswaga kwa miguu.Kisarawe ni mji Kijiji hauwezi potea.Ukifika Msalime Jokate na Gama.Ruvuma One.
 
Asante sana mkuu ubarikiwe sana
 
We unamtajia habari ya mabasi na mabodaboda,unajuaje kama labda mwenzio ana usafiri wake wa private...?
 
Mkuu muache atembee tu pale ajionepo na watoto wa kizaramo.

Mkuu ukimaliza lililokupeleka kule omba umuone mheshimiwa DC upate japo kaselfie na muheshiwa yule hana neno na roho yake nyeupe kama sufu.
Panda gari za G/mboto shuka G/mboto mwisho uliza gari za Kisarawe utaonyeshwa nauli 400 /=mpaka Kisarawe ukifika Kisarawe chukua Bodaboda mwambie naenda Halmashauri nauli 1000 sie wa huku shamba huwa tunaswaga kwa miguu.Kisarawe ni mji Kijiji hauwezi potea.Ukifika Msalime Jokate na Gama.Ruvuma One.
 
Mkuu muache atembee tu pale ajionepo na watoto wa kizaramo.

Mkuu ukimaliza lililokupeleka kule omba umuone mheshimiwa DC upate japo kaselfie na muheshiwa yule hana neno na roho yake nyeupe kama sufu.

Shukran sana nimefika pale ila bahati mbaya naona Mheshimiwa DC alikua kikaoni kama sikosei, nkashindwa kuomba picha ila ijumaaa ntaenda tena natumai ntapata wasaaa wa hata chai nae
 
Back
Top Bottom