mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari za muda naomba ushauri kuna nyumba nataka nihamie pamoja aijakamilika na ujenzi,sasa hili sick la choo linauchafu wa cement umeng'ang'ania nimesugua na brash lakin bado ni njia ipi nitumie kusafisha ili liludi katika hali yake ya upya