BASI SUPER LUXURY TABORA KWENDA ARUSHA

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Wadau naombeni msaada; basi gani zuri super luxury linatoka maeneo haya.
1. Tabora to Arusha
2. Tabora to Mbeya
 
Tabora Arusha ni coastline au NBS... sidhani kama kuna gari nyingine.. mdau hapo juu ametaja mtei, lakini mtei haendi tabora. Ana route ya moshi kahama
 
Tabora arusha bus ni coast bus, aisee kuhusu tabora mbeya jiandae kisaikolojia! Mashimo na vumbi pona yako uwahi seats za mbele, pia beba mkate maana gari ikiharibika kuanzia ipole mpaka rungwa hakuna msaa hapo kati may be uwe karibu na machimbo ya kitundas!
 
Wadau naombeni msaada; basi gani zuri super luxury linatoka maeneo haya.
1. Tabora to Arusha
2. Tabora to Mbeya
tabora to arusha kuna SEMI LUXURY

NBS
COAST LINE
KITUMBO

tabora to mbeya kuna ORDINARY

AN CLASSIC
SASEBOSA
MABROUCK
 
Duh, bora kupitia Dom

Back
Top Bottom