Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana...
Tafiti za kitabibu zikihusisha jicho la tatu zinasema hakuna sehemu ambayo wanakaa majini wengi na wachawi wengi kama kwenye vituo vya afya (Hospital).
Sehemu yoyote ambayo uhifadhiwa maiti basi...
Kuna jambo kwenye hizi dini kuhusu kuhoji hawataki wao wanataka usikie na wakufundishe kilichomo.
Ukiangalia mtindo waliokuwa wanazikwa mafarao wa misri ulikuwa wenye teknolojia kubwa na kufanya...
Kumbe uislamu una sheria ngumu hapa nyumbani Tanzania lakini tukiwa Russia hazina nguvu?
Tumeyaona haya huko St Petersburg au wazungu hawatuhusu?
Basi nadhani hata katika mlo tunaweza kupiga...
katika utamaduni wa Kiyahudi unaoonekana katika Biblia, siku ilihesabiwa kuanza jioni (baada ya jua kutua) na kuendelea hadi jioni inayofuata.
Msingi wake unatokana na simulizi la uumbaji:
"Ikawa...
Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi?
https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
Just 6 days before the World Cup kickoff, N’Golo Kanté’s French wife announced she was filing for divorce, believing that under French law their assets would be split 50/50 regardless of the...
Nimekuwa nikitazama picha za miji ya UAE miaka ya 1970 na 1980, na ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya nchi hiyo ilikuwa na maendeleo madogo sana ukilinganisha na leo.
Hii ni Dubai 1980s
Leo hii...
Tajiri kijana kwenye social media mwenye kujikuza sana Chief Godlove kaumbuka tena baada ya bingwa wa magari used kuonesha gari la Mercedes Maybach analiuza kwa shiling million 40.
Kumbuka gari...
Dunia ya sasa yenye vita ya uchumi kila kona Ukiwa mpole sana, mstaarabu, huna ugomvi na watu, unaongea kwa sauti ya chini kama padre watu watakupenda sana. Kila mtu atasema huyu jamaa ana roho...
Sijui nani anahitaji kusikia hii.
Ila kama una changamoto fulani.
Sio mbaya ukienda Kanisani. Au msikitini.
Umuombe mungu akupe hekima, nguvu na uzima wa kutatua hiyo changamoto.
Tatizo ni...
kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor
nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima...
Kuna ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaambiwi mapema.
Ukizaliwa maskini kama mwanaume —
maisha hayatakusamehe kirahisi.
Kwa sababu mwanaume maskini hana luxury ya kufanya makosa mengi bila...
👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na...
Mei 29, 2026 Mdau aliandika “Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya”
Hoja ya awali ~ Pemba: Nyama ya msaada...
1. Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na kwa kuniumba mwanaume na sio Mwanamke kila siku.
2. Nawaombea wanaume wote waliotengana na familia zao au walioacha majukumu yao warudi kwenye...
Jana katika tembea tembea zangu nikakutana na mmama anatembea kwa miguu, tukiwa umbali wa meter kama 100 hivi yule mmama alidondosha kitu akaacha kukiokota akawa anaendelea kutembea, kwa mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.