Unaanzaje kumshangaa amber rutty

Unaanzaje kumshangaa amber rutty

Joined
Mar 22, 2018
Posts
12
Reaction score
26
Unaanzaje kumshangaa amber rutty?.

Mara baada ya kuachia video yake yakifirauni ,Gafla amber rutty alikuwa maarufu.Blog na online tv zilimsaka kama dhahabu.Wasiomjua walianza kumgoogle hili wamjue vizuri.Mwenyewe anasema hata dau lake la kwenye shoo lilipanda zaidi ya mara tatu.

Umaarufu ulikuwa mkubwa kwake kila alipopita watu walimkodolea macho na wengine waliomba kupiga nae self.Kumbi za starehe alizoenda zilijaa nyomi.Wenye kumbi walimtafuta na hata kumlipa hili aende kwenye kumbi zao.Na wabongo walikuwa tayari kulipa japo wamuone tu.

Muda ukaenda watu wakamsahau.Show na dili town zikapungua,waandishi wa habari wakawa hawamtafuti tena.Mtaani watu wakawa wanamwona wa kawaida tu,na yeye hataki kuwa wa kawaida.hakaona sio ishu ngoja niwaoneshe kuwa nipo,akaachia kitu ,na kama ilivyo mwanzo blog na online tv zote zinamzungumzia yeye.

Ukiachana na balaa la vyombo vya dola amber rutty kapata anachokitaka,ambacho ni kuzungumzwa,kuzuungumzwa kwake ndio kipato chake ,ndio coz now watu wa media wapo tayari hata kumlipa hili wamuhoji.dau lake limepanda tena.amekuwa midomoni mwa watu kama mwanzo.Anachotaka yeye ni kuzungumzwa tu,hajari iwe wanamzungumza kwa ubaya au uzuri.

Simshangai amber rutty ,nawashangaa wanaomshangaa amber rutty coz wao ndio wamemfanya afanye ayafanyayo na nina uhakika kama hataswekwa ndani basi atarudia tena na tena,ndio ,atarudia coz kuimba hawezi kinachompeleka kwenye show ni hizi skendo.

Ikiwa kweli tunakereka na huu usodoma,basi ni vyema tuache kuupa airtime.Haiwezekani useme umechukizwa ikiwa mara baada ya kusikia tu kuna video yake nyingine ya kishenzi ulikesha online kuitafuta na bando lilipoisha ulikopa hili uendelee kuitafuta.

Mjamaa samwely kisinga
Msendembali- Songea
 
Kuna mwenzake anaitwa Nasra noti nilimfuma kinondoni mida ya saa nne usiku na mtu wa media fulani, maana naona anaimba vibaya, sura anayo mbaya amejitahidi kukaa uchi ila mambo yanagoma sasa nategemea haya pia kutoka kwake
 
Nasra noti she is home girl dah!!!
 
Mkuu unaadika uzi kisomi halafu "h" zako hizo zinakuharibia, sababu zinapotosha maana na kumfanya msomaji arudie kusoma sentensi na kuipanga kwa maneno yake!

Kifupi ni kwamba, hao ndiyo walimwengu walivyo,kulaani vitu ama matendo wayapendayo kuyafanya.

Mzinzi analaani uzinzi, mwizi analaani kuibiwa, muongo analaani kudanganywa.

Dunia imejaa wanafiki sana hii kuliko unavyoweza kudhania.
 
Unaanzaje kumshangaa amber rutty?.

Mara baada ya kuachia video yake yakifirauni ,Gafla amber rutty alikuwa maarufu.Blog na online tv zilimsaka kama dhahabu.Wasiomjua walianza kumgoogle hili wamjue vizuri.Mwenyewe anasema hata dau lake la kwenye shoo lilipanda zaidi ya mara tatu.

Umaarufu ulikuwa mkubwa kwake kila alipopita watu walimkodolea macho na wengine waliomba kupiga nae self.Kumbi za starehe alizoenda zilijaa nyomi.Wenye kumbi walimtafuta na hata kumlipa hili aende kwenye kumbi zao.Na wabongo walikuwa tayari kulipa japo wamuone tu.

Muda ukaenda watu wakamsahau.Show na dili town zikapungua,waandishi wa habari wakawa hawamtafuti tena.Mtaani watu wakawa wanamwona wa kawaida tu,na yeye hataki kuwa wa kawaida.hakaona sio ishu ngoja niwaoneshe kuwa nipo,akaachia kitu ,na kama ilivyo mwanzo blog na online tv zote zinamzungumzia yeye.

Ukiachana na balaa la vyombo vya dola amber rutty kapata anachokitaka,ambacho ni kuzungumzwa,kuzuungumzwa kwake ndio kipato chake ,ndio coz now watu wa media wapo tayari hata kumlipa hili wamuhoji.dau lake limepanda tena.amekuwa midomoni mwa watu kama mwanzo.Anachotaka yeye ni kuzungumzwa tu,hajari iwe wanamzungumza kwa ubaya au uzuri.

Simshangai amber rutty ,nawashangaa wanaomshangaa amber rutty coz wao ndio wamemfanya afanye ayafanyayo na nina uhakika kama hataswekwa ndani basi atarudia tena na tena,ndio ,atarudia coz kuimba hawezi kinachompeleka kwenye show ni hizi skendo.

Ikiwa kweli tunakereka na huu usodoma,basi ni vyema tuache kuupa airtime.Haiwezekani useme umechukizwa ikiwa mara baada ya kusikia tu kuna video yake nyingine ya kishenzi ulikesha online kuitafuta na bando lilipoisha ulikopa hili uendelee kuitafuta.

Mjamaa samwely kisinga
Msendembali- Songea
Hujui kabisa tofauti ya "ili" na "hili" jifunze
 
Nasra Noti kumfunika Amba
 
Attachments

  • Nasra noti.jpg
    Nasra noti.jpg
    7.9 KB · Views: 77
Back
Top Bottom