BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Kuna jamaa nilimuuzia simu...!!na hiyo simu ni ya ndugu yangu ambaye nilienda nae mwenyew dukani kumnunulia
Sasa juzi kapiga simu akilalamika kuwa alikamatwa kisa simu ni ya wizi
Yani kiufupi simuelewi....mimi nimefikiria kwanza kwenda hapo kituoni aliposema alikamatwa nkaangalie kama kweli alikamatwa
Lakini pia kila nikiwasiliana nae anatishia tu kuniletea polisi ninapofanyia biashara
Sasa naombeni ushauri.....nifanyeje ili kujua kama jamaa ni tapeli....na je kama kweli akija nao ni utaratibu na maswali gani ya kuhoji hao polisi
Msaada wa serious ndugu zangu