Kwanini viumbe vyenye jinsi ya kike vina roho Mbaya sana? Wanawake, Simba jike n.k.

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
7,809
10,792
Tuhuma za mwanamke kuwa na roho mbaya

1. Asilimia kubwa ya wachawi ni wanawake na hupewa tuhuma kibao za ushirikina hasa vikongwe, mabinti,na walio olewa.

2. Magaidi wengi ni ke, wa kujitoa muhanga.

3. Mama wa kambo wanavyowatesa watoto wao.

4. Wivu wa maendeleo na ulogaji.

Nini siri ya wanawake kuwa na roho mbaya.
 
Wanawake ni watu wazuri sana, wenye kujali na mapenzi yote ya dhati...

Hapo hapo ni watu wabaya sana na wakatili sana...

Kwa hiyo inategemea unamsukuma awe wa sura gani...

Cc: mahondaw
"Truth is one and indivisible" kitu hakiwezi kuwa kizuri na kibaya kwa wakati mmoja.
 
Tuhuma za mwanamke kuwa na roho mbaya

1. Asilimia kubwa ya wachawi ni wanawake na hupewa tuhuma kibao za ushirikina hasa vikongwe, mabinti,na walio olewa.

2. Magaidi wengi ni ke, wa kujitoa muhanga.

3. Mama wa kambo wanavyowatesa watoto wao.

4. Wivu wa maendeleo na ulogaji.

Nini siri ya wanawake kuwa na roho mbaya.
Huo ni upande wa ubaya.... Vipi upande wa wema? Weka kwenye mizania ya haki utajikuta unabadili mtazamo wako huu
 
Back
Top Bottom