Tanzagiza ilipotelea wapi?

Tanzagiza ilipotelea wapi?

Joined
Jul 27, 2018
Posts
22
Reaction score
41
Leo nmeamka baada ya kumaliza mjukumu yangu ya siku nikawa nafanya throwback ya headlines mbalimbali na maisha yangu kwa ujumla but kuna kitu kikanijia kichwan "TANZAGIZA"
Hivi hii reliable source of information ilipotelea wap?
Mwenye idea yoyote kuhusu hii issue atujuze wana jf.

Just saying nothing.
 
Ile ilikuwa ya Ben saa mbovu, sasa wanazengo wa kaona huyu kijana anaota mapembe mbele ya baba zake
 
ile yenyewe yenyewe ilishapigwa ban mkuu
 
Itakuwa walimteka juu kwa juu.
Njia kubwa ni kutumia warembo ili kuwasa watu. Ukiingia mkenge, mrembo atachukua details zako na kuwapa waliomtuma.
 
Back
Top Bottom