Ajali Mto Wami: Coaster yagongana na basi la Hood, hakuna kifo bali majeruhi

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Kumetokea ajali kwenye daraja linalounganisha mikoa ya Kaskazin eneo la Wami

Hakuna vifo bali majeruhi

Chanzo ni basi la Hood kushindwa kushika breki na kugongana uso kwa uso basi aina ya Coaster ambalo lilikua linamalizia kuvuka daraja ambao ni njia moja

Folen ni kubwa pande zote za barabara

Shukran kwa JWTZ kwa msaada wanao toa kwa majeruhi ni kuyaondoa mabasi yaliyo gongana
20190707_155404.jpeg
20190707_160115.jpeg
20190707_161623.jpeg
 
Ndo maana folen imekuwa kali. Ila sasa zimeruhusiwa inazoenda Ar,Moshi nk.
 
Wanataka mpaka watakaposikia watu 47 wapoteza maisha baada ya bus la abiria kutumbukia mto wami, ndo watashtuka na kuchukua hatua. So sad
 
Hivi ni kwa nini wasipanue hili daraja, au yawepo mawili, moja kwa magari yanayopanda na moja kwa yanayoshuka?
 
Hivi hayo mabilioni wanayo mobilize kwenye mambo ya kipumbavu kama kurudia chaguzi sisizo za maana

Wameshindwa kabisa kuongeza daraja lingine hapo Wami ??

Poleni majeruhi

Kuna siku hilo daraja litameza watu
 
Back
Top Bottom