Amunike kutupiwa virago

Amunike kutupiwa virago

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike.

Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo chake.

Ni ukweli usiopingika wacheaji wa Taifa Stars hawakujituma katika mashindano ya AFCON kinyume na wenzao wa Uganda, Kenya na hasa Madagascar.

Amunike ni mwalimu, mchezaji anapokosea lazima umkemee. Kumwambia Yondani kuwa anacheza kama mwanamke kuna kosa gani. Ni kweli hakucheza vizuri na ni vyema kocha kumkemea.

Kwanza TFF ijifunze kwa nchi zingine kama Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Egypt, Algeria, Senegal n.k ni jinsi gani wanafika mpaka hatua ya nusu fainali mpaka fainali.

Tuachane na kisingizio cha kocha, soka yetu bado sana hata tukimleta Gaurdiolla hapa mambo yatakuwa yaleyale.
 
Ligi yetu haiwezi kutupa wachezaji bora wafuate maagizo ya Mwakyembe wachezaji wa 5 wana tosha
 
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike. Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo chake. Ni ukweli usiopingika wacheaji wa Taifa Stars hawakujituma katika mashindano ya AFCON kinyume na wenzao wa Uganda, Kenya na hasa Madagascar. Amunike ni mwalimu, mchezaji anapokosea lazima umkemee. Kumwambia Yondani kuwa anacheza kama mwanamke kuna kosa gani. Ni kweli hakucheza vizuri na ni vyema kocha kumkemea. Kwanza TFF ijifunze kwa nchi zingine kama Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Egypt, Algeria, Senegal n.k ni jinsi gani wanafika mpaka hatua ya nusu fainali mpaka fainali. Tuachane na kisingizio cha kocha, soka yetu bado sana hata tukimleta Gaurdiolla hapa mambo yatakuwa yaleyale.
Sasa kama timu aliichagua yeye mwenyewe, (na wachezaji wengine wazuri akawakataa); akawafundisha yeye mwenyewe, na sasa timu imefungwa na kutoka kwenye mashindano. Sasa hapo ni nani alaumiwe?? Pierre Liquid???? Mkuu huo ni mzigo wake, hawezi kuukimbia. Tujifunze Wa- Misri walivyofanya.......
 
alivyomwacha mkude na ajibu tu nilijua hana maisha marefu kama mwalimu taifa stars
 
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike. Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo chake. Ni ukweli usiopingika wacheaji wa Taifa Stars hawakujituma katika mashindano ya AFCON kinyume na wenzao wa Uganda, Kenya na hasa Madagascar. Amunike ni mwalimu, mchezaji anapokosea lazima umkemee. Kumwambia Yondani kuwa anacheza kama mwanamke kuna kosa gani. Ni kweli hakucheza vizuri na ni vyema kocha kumkemea. Kwanza TFF ijifunze kwa nchi zingine kama Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Egypt, Algeria, Senegal n.k ni jinsi gani wanafika mpaka hatua ya nusu fainali mpaka fainali. Tuachane na kisingizio cha kocha, soka yetu bado sana hata tukimleta Gaurdiolla hapa mambo yatakuwa yaleyale.
Binafsi naona shida ya timu ya Taifa stars ilikuwa ni selection ya wachezaji kwenye timu ya taifa na kwenye hili mimi nadhani kuna wengi wanahusika zaidi ya Amunike. Pamoja na hao wachezaji walioitwa kutokuwa na uzoefu au uwezo mdogo pia kulikuwa na mapungufu kwenye upapangaji wa timu. Ni kweli sisi bado wachanga ila tulicheza mpira mbovu mno afcon.

Kumfukuza Amunike peke yake haitoshi ni vizuri bench zima la ufundi mpaka kocha msaidizi wote watoke tuanze upya ni mara kumi tumchukue yule kocha Mchina Mzanzibar wa Mlandizi anaeza kutusaidia maana timu yake ilionesha kandanda safi sana kwenye kombe la mapinduzi ikiwemo kumfunga mtani.
 
Tz bhaana na soka letu! Tunasikitisha sana.
 
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike. Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo chake. Ni ukweli usiopingika wacheaji wa Taifa Stars hawakujituma katika mashindano ya AFCON kinyume na wenzao wa Uganda, Kenya na hasa Madagascar. Amunike ni mwalimu, mchezaji anapokosea lazima umkemee. Kumwambia Yondani kuwa anacheza kama mwanamke kuna kosa gani. Ni kweli hakucheza vizuri na ni vyema kocha kumkemea. Kwanza TFF ijifunze kwa nchi zingine kama Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Egypt, Algeria, Senegal n.k ni jinsi gani wanafika mpaka hatua ya nusu fainali mpaka fainali. Tuachane na kisingizio cha kocha, soka yetu bado sana hata tukimleta Gaurdiolla hapa mambo yatakuwa yaleyale.
Hawajitumi alafu ni kama washamba Sashamba hv yaani hakuna sadio mane tayari wanacheza kinyonge na kapteni wao nae mzigo tu wampe himid Mao nkami anajitumaga sana huyu jamaa lakini samata mpeni ustaa lakini kwangu zero kabsa Gsantos alikuwa anaibeba timu yake nzima lakini samata anasubiri ukapteni wapeni mamido wetu ndo wanajua nani kapwaya.mkome kabisa kuwa kama CCM na wazungu kujichekesha chekesha dhahabu inaenda
 
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike.

Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo chake.

Ni ukweli usiopingika wacheaji wa Taifa Stars hawakujituma katika mashindano ya AFCON kinyume na wenzao wa Uganda, Kenya na hasa Madagascar.

Amunike ni mwalimu, mchezaji anapokosea lazima umkemee. Kumwambia Yondani kuwa anacheza kama mwanamke kuna kosa gani. Ni kweli hakucheza vizuri na ni vyema kocha kumkemea.

Kwanza TFF ijifunze kwa nchi zingine kama Nigeria, Ghana, Ivory Coast, Egypt, Algeria, Senegal n.k ni jinsi gani wanafika mpaka hatua ya nusu fainali mpaka fainali.

Tuachane na kisingizio cha kocha, soka yetu bado sana hata tukimleta Gaurdiolla hapa mambo yatakuwa yaleyale.
Ebu tumia akili wewe, wachezaji hawakujituma au iwezo wao ndio umeishia pale. Wachezaji mpaka wanaumia unasema hawakujituma, au unamaanisha nini maana ya kijituma
 
Back
Top Bottom