Badala Ya Barabara 8 tujenge barabara 2

Badala Ya Barabara 8 tujenge barabara 2

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Hizi ajali nyingi ni matokeo Ya Ufinyu wa barabara zetu, Tukiendelea kua na Barabara hizi Single kwa masafa marefu itatugharimu tu ...
Ingekua vema badala Ya kujenga njia 8 tokea kimara hadi chalinze.. Tungeongeza tu njia moja iende sambamba na hii iliyopo ili tuwe na Double line kwa maana gari zinazokwenda bara zitumie njia iliyopo halafu ijengwe njia pembezoni yake zipite gari za kutoka bara, hii itasaidia sana kupunguza ajali hasa hizi za Head to head collision
Kwa maana rahisi barabara moja ingejengwa kuanzia Kimara mwisho round about iende sambamba na iliyopo hadi Morogoro then Dodoma na baadae mwanza na kwingineko, pia barabara ingine ingejengwa ingeanzia msamvu Roundabout kuelekea iringa, mbeya
Hapo zingekua njia mbili za wanaokwenda na wanaorudi
Mfumo huu hutumika sehemu nyingi duniani mfano Japan tena wao Kati Ya njia na njia kuna kitu kama ukuta mdogo hivi hii yote kupunguza uwezekano wa ajali hasa za uso kwa uso.
Tubadilike kwa kufikiria kuachana na njia moja ambayo ni nyembamba inayopitisha malori gari za abiria,bodaboda ,mifugo na watembea kwa miguu.
 
Sisi timeiga kwa waingerezaa
 
Back
Top Bottom