Naomba msaada wa kureset password kwenye website ya RITA

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,762
2,000
Wakuu nipo namsaidia mdogo wangu kureset password kwenye website ya RITA ili aweze kuona matokeo ya uhakiki wa vyeti vyake.

Kila nikijaribu napata ujumbe huu "Your reset password key is invalid"

Nafanyaje kusolve hili ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom