Tusidanganyane: Matajiri wote wataenda mbinguni tu

Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
459
500
Kama mbinguni wataenda wenye moyo safi, na matendo mema basi matajiri karibu wote wataenda mbinguni. Nashuudia bwana Dr. Mtembei kwa msiomjua yeye ndie boss wa st Matthew, st marks, ujenzi, victory na kadhalika katoa cheque ya million 100 za ujenzi wa kanisa la eagt city center huku mtoni kijichi, hii ni desturi yetu matajiri wote ukianza na Mimi John D. Rockefeller, Vanderbilt, Andrew Carnegie, J.P Morgan, Ford hadi Bill Gates tunajitahidi kutoa na ku push the human race forward.

Uzi tayari.
 
BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,856
2,000

Tatizo hizo pesa sio halali.
Nyingi ni dhuluma na mauaji.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
16,295
2,000
dhana ya tajiri kutoenda mbinguni ni,kujipendelea au kujilimbikizia mali.ambao ndio utajiri wenyewe.

kama anataka kuwa safi,anatakiwa agawe kila kitu,au sehemu yote ya faida katika uzalishaji wake kwa masikini na wenye uhitaji.nadhani mpaka hapo unaona ni jinsi gani mbinguni ni mbali.
 
Aloo kwa maana hip sipaoni mbinguni bwana mkorinto.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
37,848
2,000
Umenisahau namimi pamoja na rafiki yangu wa karibu Jack ma
Kama mbinguni wataenda wenye moyo safi, na matendo mema basi matajiri karibu wote wataenda mbinguni. Nashuudia bwana Dr. Mtembei kwa msiomjua yeye ndie boss wa st Matthew, st marks, ujenzi, victory na kadhalika katoa cheque ya million 100 za ujenzi wa kanisa la eagt city center huku mtoni kijichi, hii ni desturi yetu matajiri wote ukianza na Mimi John D. Rockefeller, Vanderbilt, Andrew Carnegie, J.P Morgan, Ford hadi Bill Gates tunajitahidi kutoa na ku push the human race forward.

Uzi tayari.
 
Chrisvern

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
2,260

Naona ushajihesabia haki😄
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
3,963
2,000
Nabii Issa alinena, ni vigumu tajiri kuingia mbinguni!! Unabisha?? Kutoa pesa nyingi, huenda zimetoka baharini kwa kanuni za ulimwengu wa roho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom