Kigwangalla afundishwe namna ya kupiga salute!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Niombe tu mjeshi mmoja awe kutoka JW au polisi ajitolee kumfundisha kamanda mkuu wa jeshi la wanyamapori Dr Kigwangalla namna ya kupiga salute kiaskari.

Leo pale mbughani salute za Waziri zilikuwa zinafurahisha sana hazikutofautiana kabisa na zile za Joti wa orijino komedi.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu picha yake tafadhal tuone hiyo salute aliyopiga ikapelekea Kigwangala afunguliwe uzi saa 4 hii usiku mana wengine hatukufatlia tukio!!
 
Niombe tu mjeshi mmoja awe kutoka JW au polisi ajitolee kumfundisha kamanda mkuu wa jeshi la wanyamapori Dr Kigwangalla namna ya kupiga salute kiaskari.

Leo pale mbughani salute za Waziri zilikuwa zinafurahisha sana hazikutofautiana kabisa na zile za Joti wa orijino komedi.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu unasumbuliwa na wivu.
 
Saluti inapigwa kwa mujibu wa sheria! Sasa cjui naye yumo kwa mujibu wa sheriaa? Maana ni lazima angefundishwa jinsi ya kupiga saluti!
 
Niombe tu mjeshi mmoja awe kutoka JW au polisi ajitolee kumfundisha kamanda mkuu wa jeshi la wanyamapori Dr Kigwangalla namna ya kupiga salute kiaskari.

Leo pale mbughani salute za Waziri zilikuwa zinafurahisha sana hazikutofautiana kabisa na zile za Joti wa orijino komedi.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo tumegeuza kanuni ya "civilian leadership of the military".

Kila mtu anajifanya mwanajeshi, kuanzia rais mpaka waziri.

Ni kitu kinachoirudisha nchi katika utawala wa kijeshi polepole.

Wazee waliokuwa jeshini kina Makamba, Kikwete,Chligati, Moses Nnauye, marehemu Ditopile n.k, walipewa uamuzi waendelee kukaa jeshini au waingie katika siasa, hawa waliingia katika siasa.

Kwa sababu tulitenganisha siasa na jeshi.

Sasa tumerudisha jeshi kwenye siasa, mapaka wakuu wa mikoa na wilaya wameteuliwa wanajeshi.

Mpaka wasio wanajeshi nao wanajifanya wanajeshi bila hata mafunzo ya msingi.

Kikwete ambaye ni mwanajeshi mstaafu (angalau alikuwa kamisaa wa siasa jeshini) hakuvaa nguo za kijeshi. Anajua utenganisho wa siasa na jeshi kwa sababu ilimbidi atoke jeshini kuendelea kuwa katika siasa.

Hawa ambao hawajawahi hata kuwa koplo, kina Maguuli na Kigwangalla, wanajishaua kwa mavazi ya kijeshi.

Ni kulimbuka tu.
 
Inamana wakivaa mavazi ya kijeshi ndio kua wajeshi..?!?
Hawa wote uliowataja wamepita jeshini sasa sielewi chuki za kuvaa kijeshi zinatokea wapi..yale ni mavazi vyeo ulivyovitaja wewe hubandikwa/kuvishwa
 
Unaelewa "civilian control of the military" ni nini?

Unaelewa maana ya concept ya "justice must not only be done, it must also appear to be done"

Back
Top Bottom