Heshima kwenu wakuu, natumai mko powa, Leo hii tatizo kubwa na sugu la vijana linalowakwamisha kupata wake au chumba nyingi kuharibika ni tatizo la mahari kwa baadhi ya makabila hapa Tanzania...
Nlikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye ni dini ya kikristo tukizungumzia mambo mbalmbal ya kijamii na kisiasa
Moja ya mambo ambayo tulizungumzia ni kuhusiana na huyu anayejiiya. Nabii TITO.
Ni wazi...
Jamani NSSF nimefuatilia mafao yangu nimeishia tuu ahadi kula kukicha.Kuna mtu kanishitua kuwa print statement.
Nilipoprint,statement ilionesha nimelipwa wakati Mimi sijaiona pesa kwenye akaunti...
Watu watatu wanashikiliwa mkoani Songwe kwa biashara ya uuzaji wa Meno ya tembo. Akizungumza na vyombo vya habari mkoani Songwe mkuu wa Polisi Mkoani Songwe amesema wanaoshikiliwa ni...
Magufuli anaamini uwingi wa watu ndio economic growth, mimi nakataa kwa reference ya nchi za Ulaya.
Nyingi zina population ndogo lakini ndio zinatupa misaada. Pia kwa Asia reference yangu ni...
Wife of Chinese multimillionaire sues over $200,000 fine for not living in $20M Vancouver mansion
By Joshua Berlinger, CNN
Updated 2:10 PM EDT, Wed July 10, 2019
(CNN)The wife of a Chinese...
Wapendwa habarini, naomba mnitoe ujinga juu ya hili. Kuna story niliiskia skia kwenye kijiwe kimoja nimeona niwaulize nanyi kama mnafaham. Nimeskia kua kuna kondom zimepandikizwa magonjwa kama...
Wakuu kwema nijikite moja kwa moja kwenye mada.Malalamiko yamekua mengi kwenye mitandao ya kijamii mtu asie jua anaweza kufikiri pengine chato ni burundi au Rwanda pengine kuna watu special au...
Ile kitu iliyozinduliwa na Mkulu pale hifadhi ya Buligi kwa kweli hapana. Wangechukua hata hii. Pia ingependeza wakaweka na thamani yake. Huku mitaani kuna vipaji vinachonga baraha wangetangaza...
Simu 📱 ya Mkristo✝ iliita kwa sauti wakati wa ibada, *"ilikuwa bahati mbaya"*
1️⃣Kiongozi wa ibada alitoa karipio akimwelezea jamaa huyo kama mfano wa waumini wazembe.
2️⃣Waumini wengine...
Watu watatu raia wa kigeni kutoka nchi za Ireland na Uingereza wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kupatikana na madini aina ya dhahabu yenye...
Msaada tutani nawezaje kupata fomu za usajili wa vicoba bila kuwepo Dodoma. Nimejaribu online sijaziona. Msaada Tafadhali. Natanguliza Shukrani za dhati ya moyo wangu.
Maduhuli ni bidhaa na huduma zinazoingizwa nchini Tanzania kutoka nje ya nchi. Taratibu za maduhuli zinapaswa kufuatwa ili kukomboa bidhaa kutoka Forodhani/customs kulingana na Sheria ya Usimamizi...
Kiukweli nimekua mmoja ya watu wanaotafakari kwanini TL amevuliwa ubunge has a ukizingatia hali ya ugonjwa. Mara baada ya tundu lissu kuvuliwa ubunge wajaharakati, viongozi mbalimbali...
Mwezi huu ni msimu wa kupeleka watoto shule, kwa sasa kila kituo cha bus utakutana na watoto wakiwa na wazazi wao wamebeba vigodoro na matranka. Wakati wa Mwalimu shule zote wasichana walivaa...
Kama hujawahi kutana na hii situation unaweza ukaona ni kawaida ukweli ni kwamba ni moja kati ya moments zinazouma sana ukizingitia mharibifu anakuwa hana uwezo wa kukulipa au anakuwa mtu ambaye...
Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.
Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.