Muendelezo wa maisha ya ubaharia

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,997
7,068
Habarin wandugu


Leo nmeona nijibu maswali machache ambayo yaliulizwa kwenye thread yang ya Jana na nitaelezea Mambo mengine machache kidogo


Namna ambavyo kazi inavopatikana

Kuna njia nyingi ambazo mtu anaweza akazifuata mpaka akaweza kuajiliwa kwenye meli

Hapa naelezea njia niliyoitumia Mimi
Kwanza kabisa unaanda CV pamoja na documents zako hapa namaanisha vitu vyako vyote vinavyohusiana Kaz za meli(CDC,CV,vyeti, medical fitness,)

Baada ya kuviandaa hivyo vitu nilipata email ya campun X, nikajaribu bahati yangu. Ilichukua Kama dakka 10 au 15 jamaa akawa amenijibu na kunambia passport coz nilikua sijaiweka, document zangu zilivokamilika jamaa akininipeleka kwa mtu mwingine through email ili anifanyie interview ( hapa Kama sio baharia huwezi kuelewa how amenipeleka)

Basi nilivokua tarehe ya interview nikaingia chimbo kutafuta maswali ya hyo campun coz Kila campun huwa wanakuaga na maswali ambayo ni common so unachokifanya ni kuyameza tu Kama yalivo

Siku ya interview ilivofika jamaa alinipigia through Skype na Mambo yalienda vizur coz nilikua nishajua nitaulizwa Nini na nitajibu Nini so kwangu interview ilikua easy tu.

Baada ya interview nikatumiwa form nyingine za ile campun I mean unaanza kujaza upya CV kupitia mfumo wao. Baada ya kumalizana na hayo Mambo nikatuma na tukaendelea na mawasiliano na jamaa ili kupata update za safari.

Siku ilivowadia jamaa (mwingine) alinipigia simu na kuniuliza Kama nipo tayar kwa safari, kidume nikajipinda tu hakuna kubisha kitu, baada ya muda mfupi nikatumiwa attachment, after one day nikaelekea kwa nyerere.



Nadhani nitakua nimewajibu wale walokua wanauliza et umetuma CV zen unakutana na tiket halaf unaondoka hapo hapo

Guys Mambo ni mengi siwezi kuyaweka yote hapa mengine tunafupisha tu na mengine unakuta mtu unayasahau coz ni muda kidogo had mtu aniulize swal ndo naweza kukumbuka
 
Ujanani nilitaman kuwa baharia ila kutokana maisha ya kijijini katika umri mdogo tu tayar unakuwa ndio nguzo ya familia ilishindikana
 
Hivi nyie Mabaharia, huwa mnaoa?
Hamruhusiwi kuishi na wake zenu huko ?
 
Hivi nyie Mabaharia, huwa mnaoa?
Hamruhusiwi kuishi na wake zenu huko ?
Wapo mabaharia ambao wameo. Ila kea baharia kuoa ni kujipa stress tu.
Kuna baadhi ya meli hasa zile za abiria kwa MFANO oasis of the seas, officers wanaingia na familia zao.
Ila kwa meli nyingne sijawah sikia
 
Back
Top Bottom