Prof Kabudi anafanya kazi nzuri suala la interview haliwezi kumdiscredit

Jul 9, 2019
9
12
Profesa Kabudi anafanya kazi nzuri,ni mmoja wa mawaziri wanaofanya kazi zao kwa weledi na ufanisi mkubwa,jambo moja haliwezi kummfanya Profesa Kabudi aonekane kashindwa kazi wakati mambo mengi makubwa kwa nchi ameyafanya na anaendelea kuyafanya.

Kwa mfano Prof Kabudi ndiye aliyeandesha mazungumzo ya Barrick kwenye sekta ya madini.

Prof Kabudi ndiye aliyeendesha mazungumzo na kampuni ya Airtel wakakubali kuongeza share za Serikali kutoka 40% hadi 49 % pamoja na kutoa Us$ 1,000,000 msaada kwa Serikali ya Tanzania na Tshs Bilioni 60

Prof Kabudi kaleta shs bil 60 msaada kutoka China usiokuwa na masharti,msaada kwa ajili ya upanuzi wa hospitali ya magonjwa ya moyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote katika bara la Afrika na itahudumia wagonjwa kutoka nchi zote za Afrika.

Kabudi kawezesha kupatikana kwa idadi kubwa ya watalii kutoka china yote hayo yana impact kwa uchumi wa nchi hii.

Suala la namna ya kuzungumza kwenye interview mtu yeyote anaweza kuteleza kuzungumza na baadae kuapologize sio jambo la kushangaza
 
Profesa Kabudi anafanya kazi nzuri,ni mmoja wa mawaziri wanaofanya kazi zao kwa weledi na ufanisi mkubwa,jambo moja haliwezi kummfanya Profesa Kabudi aonekane kashindwa kazi wakati mambo mengi makubwa kwa nchi ameyafanya na anaendelea kuyafanya kwa mfano Prof Kabudi ndiye aliyeandesha mazungumzo ya Barrick kwenye sekta ya madini,Prof Kabudi ndiye aliyeendesha mazungumzo na kampuni ya Airtel wakakubali kuongeza share za serikali kutoka 40% hadi 49 % pamoja na kutoa Us$ 1,000,000 msaada kwa serikali ya Tanzania na Tshs Bilioni 60,Prof Kabudi kaleta shs bil 60 msaada kutoka China usiokuwa na masharti,msaada kwa ajili ya upanuzi wa hospitali ya magonjwa ya moyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote katika bara la Afrika na itahudumia wagonjwa kutoka nchi zote za Afrika.Kabudi kawezesha kupatikana kwa idadi kubwa ya watalii kutoka china yote hayo yana impact kwa uchumi wa nchi hii.Swala la namna ya kuzungumza kwenye interview mtu yeyote anaweza kuteleza kuzungumza na baadae kuapologize sio jambo la kushangaza
Bora Dkt.Mahiga
 
Kwa mtizamo wangu mimi binafsi: alichoongea Mh. Kabudi, hajaropoka wala hajakitamka kwa bahati mbaya, na possibly alikuwa ame-predict kwamba swali hilo ataulizwa na hivyo alikuwa tayari ameshaandaa jibu lake ambalo ndiyo hilo alilolitoa.

Pia alijua reaction ya wa-Tanzania yakiwemo makundi yote kama vile ya wanaharakati, wapinzani, waandishi wa habari, wa-Tanzania wa kawaida n.k., itakuwaje baada ya kuwa ametoa matamshi hayo.

Kwa hiyo hata majibu ya makundi haya nayo anayo pia na atayatoa, ambayo yatakuwa ni majibu ya Serikali.

Hii ni namna ninavyoamini mimi ila yawezekana pia uhalisia ukawa uko tofauti na ninayoyaamini!
 
Kwa mtizamo wangu mimi binafsi: alichoongea Mh. Kabudi, hajaropoka wala hajakitamka kwa bahati mbaya, na possibly alikuwa ame-predict kwamba swali hilo ataulizwa na hivyo alikuwa tayari ameshaandaa jibu lake ambalo ndiyo hilo alilolitoa. Pia alijua reaction ya wa-Tanzania yakiwemo makundi yote kama vile ya wanaharakati, wapinzani, waandishi wa habari, wa-Tanzania wa kawaida n.k., itakuwaje baada ya kuwa ametoa matamshi hayo. Kwa hiyo hata majibu ya makundi haya nayo anayo pia na atayatoa, ambayo yatakuwa ni majibu ya Serikali. Hii ni namna ninavyoamini mimi ila yawezekana pia uhalisia ukawa uko tofauti na ninayoyaamini!
Hio litamaanisha hajali wananchi wanavyofikiri, na hajali kuichafua serikali.
 
Nikisoma ujumbe wako huu napata picha wewe ni mtu wa aina gani hivyo siwezi kupoteza muda wangu kuendelea kujibishana na wewe na kwa taarifa yako kwa elimu hunikuti hata kwa robo lete vyeti tuvimwage humu ndani alafu watu wajudge mwenye elimu ya ngumbaru ni nani kati yako na mimi
Wewe vyeti vyako vyote kama hujajua kuandika kwa mpangilio hujaelimika bado.

Sasa kwa kuuliza swali na kulazimisha "Jibu yes" hapo ndipo unajiona una elimu?

Ulikuwa unajibishana nami au unanilazimisha nijibu unavyotaka wewe?

Do you even read the disjointed diction you spewed in here?
 
Hakuna anayekataa kwamba huyu "profesa from jalalani" amefanya baadhi ya mambo vizuri. Watu wanachouliza ni kwamba, kwa vile huyu ni profesa anayefanya kazi "professionally" basi anajua EXACTLY anachosema na HAJAKOSEA. Kwa hiyo swali letu ni kwamba kama Azory alikufa mwili wake ulifanywaje?? Tunamwomba huyu professional "profesa from jalalani" atuambie.
 
Hio litamaanisha hajali wananchi wanavyofikiri, na hajali kuichafua serikali.

Kama ni matamshi binafsi anaweza akawajibishwa, hilo halina shaka. Vinginevyo ukiona kimya, get a hint! Serikali ni Serikali, popote pale duniani!
 
Kama ni matamshi binafsi anaweza akawajibishwa, hilo halina shaka. Vinginevyo ukiona kimya, get a hint! Serikali ni Serikali, popote pale duniani!
Hujajadili hoja yangu.

"Serikali ni serikali" is a logical tautology.

Kwa social contract, serikali inahitaji nguvu za wananchi. Ndiyo maana kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi.
 
Hujajadili hoja yangu.

"Serikali ni serikali" is a logical tautology.

Kwa social contract, serikali inahitaji nguvu za wananchi. Ndiyo maana kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi.

"Serikali ni serikali" is a logical tautology.Proof by which method? Contradiction?
 
Kabudi ni prof jina tu,matokeo sufuri!Atuobeshe mwili wa Azory Gwanda ulipo!!!
Kwani yeye ndiye aliyemteka??? Mbona hamzungumzii wale waliouawa kule kibiti?? Ni kwa sababu gani waliuawa kinyama namna ile na nani walihusika????????????????
 
Back
Top Bottom