Waingereza ilikuwaje wakashindwa kueneza kanisa anglican Tanzania nzima?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
1,981
2,000
Nauliza tu? Kwa maana wao ndio wametawala mda mrefu nchi hii ilikuwaje wakashindwa kueneza kanisa lao Tanzania nzima?
Maana ukitazama wa italy hawakutawala Tanzania lakini ndio dini yao ilienea sana
Tofauti na waingereza ambao imeenea sana Tanga,Dodoma,masasi na huko Nyasa
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,393

Himaya ya Kikatoliki ilikuwa tayari imeshaweka mizizi mirefu tangu miaka ya 1860 kila kona ya Tanganyika. Himaya Katoliki ipo duniani kote, ina organization nzuri sana, nguvu kubwa na utajiri wa ajabu hivyo waliweza kutawala hata chini ya Mwingereza ambaye ni Mwangilikana.
 
kiss daniel

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
314
1,000
Mwingileza alikuwa ni mhuni sana aliyekuwa anaiba madini yetu na kwenda kujenga kenya

Amani kwao wajeruman
 
beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,348
2,000
Himaya ya Kikatoliki ilikuwa tayari imeshaweka mizizi mirefu tangu miaka ya 1860 kila kona ya Tanganyika. Himaya Katoliki ipo duniani kote, ina organization nzuri sana, nguvu kubwa na utajiri wa ajabu hivyo waliweza kutawala hata chini ya Mwingereza ambaye ni Mwangilikana.
Uislamu umeeneaje? mbona hakuwa na ngome,hata sasa bado wanaonekana kuwa local ,washamba hawa invest katika kuprocure new followers lakini wana wafuasi ambao ni vindakindaki
 
MSILOMBO

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
512
500
Uislamu umeeneaje? mbona hakuwa na ngome,hata sasa bado wanaonekana kuwa local ,washamba hawa invest katika kuprocure new followers lakini wana wafuasi ambao ni vindakindaki
Waarabu waliwahi mapema Sanaa Africa
 
Pompey

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
389
250
Alishtukia kuwa akili za wabongo ni bongo lala,, akasepa zake Kenya,, waingereza walikuwa smart ndiyo maana makoloni yao, yako na hali nzuri had leo hii, i mean pale walipoamua kufanya settlement...
Mwingileza alikuwa ni mhuni sana aliyekuwa anaiba madini yetu na kwenda kujenga kenya

Amani kwao wajeruman
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,255
2,000
Wanachojua wao ni kueneza/kusambaza sera ya ushoga katika makoloni yake...!!

Amani kwake Arab na Germany...
 
BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,505
2,000
Manake kama ni Mbinga na maeneo jirani na Mbinga ukatoliki umeenea sana na wana Jimbo la kabisa la Mbinga kabisa labda Malawi huko
Mimi mzee wangu ana asili ya nyasa kabisa ndo maana nimemuuliza kwa mshangao, maana kule ukatoliki tu hawajui madhehebu mengine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom