Menu ya TTCL pesa tafadhali

Menu ya TTCL pesa tafadhali

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,303
Reaction score
2,022
Tafadhalini, mwenye kuifahamu Menu ya TTCL pesa anisaidie, kuna akiba yangu nahitaji kuitumia. Ukipiga huduma kwa wateja wanapiga porojo tu T-Pesa hakuna maelezo yoyote. Ahsanteni
 
Back
Top Bottom