Nimependa Ubunifu wa BURIGI, kuienzi mtoto wangu wa mwisho ntamuita ''BURIGI''

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,540
15,180
habar wakuu.
Kama ghadafi alitengeza mto.
Waziri mkuu Israel alibuni mashamba na Bustani jangwani.
Waholanzi walotengeneza nchi kavu baharini.
wachina airport Baharini.

hata sisi tumefanya jambo kubwa la kuenziwa.
"kuwapa wanyamapori ''mtoko'' kutoka walipozoea na kwenda kuwaanzishia maisha sehemu ambapo hawajawahi kifikiri kuishi na kuongeza idadi ya sehemu ya kuwaona wanyama pori nchini'' hili ni jamno jema.

Bila wivu, husda, hila, chuki katoto kangu ka mwisho ikitokea Mungua akanipa nitakaita '' Buligi Matunduizi''.

Sipangiwi
 
habar wakuu.
Kama ghadafi aliyengeza mto.

Nani kakuambia anataka kukupangia?
Naona leo mmegeukana watoto wa baba mmoja...teh
 
Burigi haipendezi muite Burigi chato itapendeza Mkuu 😜

habar wakuu.
Kama ghadafi aliyengeza mto.
Waziri mkuu Israel alibuni mashamba na Bustani jangwani.
Waholanzi walotengeneza nchi kavu baharini.
wachina airport Baharini.

hata sisi tumefanya jambo kubwa la kuenziwa.
"kuwapa wanyamapori ''mtoko'' kutoka walipozoea na kwenda kuwaanzishia maisha sehemu ambapo hawajawahi kifikiri kuishi na kuongeza idadi ya sehemu ya kuwaona wanyama pori nchini'' hili ni jamno jema.

Bila wivu, husda, hila, chuki katoto kangu ka mwisho ikitokea Mungua akanipa nitakaita '' Buligi Matunduizi''.

Sipangiwi
 
habar wakuu.
Kama ghadafi aliyengeza mto.
Waziri mkuu Israel alibuni mashamba na Bustani jangwani.
Waholanzi walotengeneza nchi kavu baharini.
wachina airport Baharini.

hata sisi tumefanya jambo kubwa la kuenziwa.
"kuwapa wanyamapori ''mtoko'' kutoka walipozoea na kwenda kuwaanzishia maisha sehemu ambapo hawajawahi kifikiri kuishi na kuongeza idadi ya sehemu ya kuwaona wanyama pori nchini'' hili ni jamno jema.

Bila wivu, husda, hila, chuki katoto kangu ka mwisho ikitokea Mungua akanipa nitakaita '' Buligi Matunduizi''.

Sipangiwi

mtoto wako mweusi kama mkaa then unamuita burigi (White Lake of Urigi ) huoni kama unamtia
kwanini usimuite Negro Lago de Urigi
 
Back
Top Bottom