Nimetumiwa form ya mkopo kutoka wizara ya fedha GEF ndo nijaze nini?

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Wakuu chap chap niwezesheni nimalize kujaza form niwatumie Kuna kipengere cha GEF number sijaelewa nijaze nini
Ni kitengo cha mikopo ya wajasiriamali
 
Hiyo GEF ni Global Entrepreneurship Forum mkuu...ila nahisi wana kautapeli maana hata mimi hiyo form ya kwanza nilijaza wakanitumia hiyo ya pili nikawauliza GEF number ni nini? Wakaniambia ni number unayopewa baada ya kusajiliwa kwenye global entrepreneurship forum,,, then wakanipa jina la Dada anaitwa Joan yuko Kenya Nairobi eti,,, nikawasiliana naye akanitumia email yenye maelezo mengii halafu wakawa wameandika kwamba kupata hiyo GEF number inabid kuchangia 350, 000 Mimi nikaamua kuachana nao.
 
Lakini huu si mpango wa serikali ku grant raia? Sasa haya mambo ya kuanza kutoa na wakat pale Walisema hakuna masharti
 
Hiyo GEF ni Global Entrepreneurship Forum mkuu...ila nahisi wana kautapeli maana hata mimi hiyo form ya kwanza nilijaza wakanitumia hiyo ya pili nikawauliza GEF number ni nini? Wakaniambia ni number unayopewa baada ya kusajiliwa kwenye global entrepreneurship forum,,, then wakanipa jina la Dada anaitwa Joan yuko Kenya Nairobi eti,,, nikawasiliana naye akanitumia email yenye maelezo mengii halafu wakawa wameandika kwamba kupata hiyo GEF number inabid kuchangia 350, 000 Mimi nikaamua kuachana nao.
Hiyo inaitwa gusa moja uone mbili
 
Wizara ya fedha ndio inatoa mkopo unapewa jina na dada yuko Kenya bado plug azichomi tu dah!!!Kuna vichwa vigumu kuelewa magufuli wamuongeze mshahara km uyu pia ni mwananchi wake.
Mkuu nimecheka sana kweli wakati mwingine walimu wanavumilia mengi sana hasa akipata mwanafunzi mwenye kichwa kigumu kama hichi.
 
Wizara ya fedha ndio inatoa mkopo unapewa jina na dada yuko Kenya bado plug azichomi tu dah!!!Kuna vichwa vigumu kuelewa magufuli wamuongeze mshahara km uyu pia ni mwananchi wake.
Kuna watu vihiyo
 
Back
Top Bottom