Nin kinachangia Tsh kushuka ki dollar?

Nin kinachangia Tsh kushuka ki dollar?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Tshs ama TZS imekuwa ikipungua kidhamana mwaka hadi mwaka sijui tatizo ni liko wap wadau.
 
Vitu Tanzania aslimia kubwa n ghali na hela haipatikan kiurahis
 
Lazima tufanye export bidhaa mbali mbali kwenda mataifa mengine, sasa Tz mda wote ni kupokea tu bidhaa na isitoshe tunapokea bidhaa feki, Pesa yetu kuwa na thamani siyo rahisi.
 
Kama Tz tunataka Tsh isishuke thamani exportation inatakiwa iwe kubwa kuliko importation

Ukiingiza vitu (importation) itakufanya wewe uitafute $ kwa nguvu ili uingize mzigo na ndo hapo tunapojikuta Tsh yetu inashuka thamani bcz tunavouza nje ni kidogo kuliko tunavoingiza
 
Mna import zaidi kuliko ku export
Hamuoni mko kwenye uchumi wa maframe

Ova
 
Back
Top Bottom