ovimbundu Member Joined Jul 12, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Jul 15, 2019 #1 Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake
Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake
Abby The Rider JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 473 Reaction score 781 Jul 15, 2019 #2 Ukikua utaelewa
ovimbundu Member Joined Jul 12, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Jul 15, 2019 Thread starter #3 nikue mara ngap? Abby The Rider said: Ukikua utaelewa Click to expand...
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,094 Reaction score 51,417 Jul 16, 2019 #4 ovimbundu said: Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake Click to expand... Papuchi na kipochi manyoya ni synonyms
ovimbundu said: Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake Click to expand... Papuchi na kipochi manyoya ni synonyms
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,992 Reaction score 24,901 Jul 16, 2019 #5 Jiwe ndio linaloongoza nchi kidikteta na siku hizi limejisahau mno na linataka kuhamishia ikulu na miundombinu yote kule chattle.
Jiwe ndio linaloongoza nchi kidikteta na siku hizi limejisahau mno na linataka kuhamishia ikulu na miundombinu yote kule chattle.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,093 Reaction score 39,613 Jul 16, 2019 #6 mengine utayajulia humu humu. kuna lingine, maagi mulaga-hii ni ile sanamu inayozaniwa ya jkn iliyotengenezwa na kigwangara kule burigi.
mengine utayajulia humu humu. kuna lingine, maagi mulaga-hii ni ile sanamu inayozaniwa ya jkn iliyotengenezwa na kigwangara kule burigi.