ovimbundu
Member
- Jul 12, 2019
- 10
- 2
Wakuu poleni na majukumu [emoji41]
kwanza wote ambao hawaamini uwepo wa mungu wafanye hv [emoji137]
Tukirudi kwenye mada; zifuatazo ni sababu za kuamini ufufuo na siku ya kiama kiujumla
1)M/mungu ndie aliye umba kila kitu imagine aliweza kui design frame ya mwanadamu hadi ikawepo sasa itakuwa vigumu kwel kukurudisha tena hata kama ulishabakia mifupa tu??
2)Vilevile lazima kiama kiwepo ili kila mtu ahojiwe na aulizwe jinsi alivyotumia maisha yake duniani
ndo maana binadamu wote wana differ kwenye vitu vingi
3)pia; huo utakuwa muda muafaka wa kuadhibu viumbe vitukutu kuwah kuwepo duniani imagine HITLER aliua watu wengi tu unataka kumaanisha ndo imetoka hio?? Lazima ashughulikiwe pia [emoji2][emoji2]
4)vilevile ni muda muafaka wakuwa rewarded accordingly hapa naongelea PEPO na MOTO (nadhan wafia dini tunalifahamu hili [emoji4][emoji38])
5)mwisho kabisa ; every one should be asked for the bounties bestowed upon them
NAWASILISHA NA SREDI Tayar [emoji109]