Kuhusu ndoto za kifo

Kuhusu ndoto za kifo

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,224
Reaction score
2,979
Habari zenu wana jf napenda kutoa kiasi kidogo cha elimu sababu imetokea hapa mtaani kwangu nikaona vvema si vibay nikawapa faida ndugu zangu wa jf kuhusu ya kifo ,ukiota umemuota marehem anatembea na akampiga mtu kikumbo basi tambua yule aliepigwa atakufa sio mda mrefu, au ukamuota mtu aliekufa alafu ukaota kafa tena tambua kwenye familia yake huyo uliemuota mwenye jina kama lake ndie ataekufa hana mdarefu, naomba niishie hapo pia nataka tutambue ndoto ukiota Mara tatu siku tofauti hio ndoto hivyo unavyoota ndivyo ilivyo ,pia ndoto ya kweli hasa huanza saa nane mpaka tisananusu , ahasanteni , binadamu hakosi mapungufu
 
Kwa jinsi unavyoogopa Kufa utadhani kuna mahala katika Maandiko pameandikwa kuwa Mwanadamu hatokufa wakati Kifo ni lazima kwa Mwanadamu na tunapaswa Kukitarajia muda na wakati wowote ule.
 
Habari zenu wana jf napenda kutoa kiasi kidogo cha elimu sababu imetokea hapa mtaani kwangu nikaona vvema si vibay nikawapa faida ndugu zangu wa jf kuhusu ya kifo ,ukiota umemuota marehem anatembea na akampiga mtu kikumbo basi tambua yule aliepigwa atakufa sio mda mrefu, au ukamuota mtu aliekufa alafu ukaota kafa tena tambua kwenye familia yake huyo uliemuota mwenye jina kama lake ndie ataekufa hana mdarefu, naomba niishie hapo pia nataka tutambue ndoto ukiota Mara tatu siku tofauti hio ndoto hivyo unavyoota ndivyo ilivyo ,pia ndoto ya kweli hasa huanza saa nane mpaka tisananusu , ahasanteni , binadamu hakosi mapungufu
Duh....na tunaojiotea mchana kwa raha zetu inakuwa sio ndoto au sio?
 
Back
Top Bottom