relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Wakuu kwema? nilikuwa naomba msaada kwa wale waliowahi kuiona cartoon ya muda mrefu na ilikuwa inaonyeshwa itv kipindi hiko,story yake kuna mtu mkubwa kama sisi binadamu wa kawaida ila ataibujia sehemu kuna viwatu vidogodogo vitambananisha kwa mateso inafurahisha sana mwenye kuikumbuka nataka nitafutie wanangu.