Dsm litabaki jiji pendwa ndiyo maana watumishi wa serikali pamoja na viongozi wanarudirudi sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Hii nchi ni tamu sana.

Dsm ndo kila kitu , Dsm ndo Tz yenyewe.

Issues zote , mipango yote, maujanja yote, akili nyingi , system yote, biashara zote , uchafu na fitina zote za kidiplomasia zitabaki kufanyikia Dsm.

Piga ua.

Dar itabaki Dar
 
Hilo naafika 100%kabisa maana wengi walioenda Dodoma tunapigana nao vikumbo huku town,Dar tamuuuuu mkuu
Hii nchi ni tamu sana.

Dsm ndo kila kitu , Dsm ndo Tz yenyewe.

Issues zote , mipango yote, maujanja yote, akili nyingi , system yote, biashara zote , uchafu na fitina zote za kidiplomasia zitabaki kufanyikia Dsm.

Piga ua.

Dar itabaki Dar
 
Kwani JPM anaenda lini Dodoma,maana aliwawahisha wenzake kijanja😂😂😂,dasalama dasalama haiwezi kumwacha mtu salama
 
Back
Top Bottom