Kuna uhusiano gani kati ya ngumi na comedy?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Ukipita sehemu watu wakawa wanapigana baadhi watu wanao tazama wanakuwa wanacheka. Hata ukitazama video clips watu wakipigana utasikia watu wanacheka.

Sometimes hata wao wanao pigana ngumi zikiisha hasira zika yeyuka wataanza kucheka.

Kuna uhusiano gani kati ya vitu hivi viwili?
 
Wnacheka baada ya kujiona wamepigana kwa mambo ya kipumbavu/kijinga pasipo kupata faida yoyote ile.
 
Back
Top Bottom