Kwa Huu Ushahidi sasa Wamechanganyikiwa na Kuchanganyana sana.Hali ni Mbaya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,510
23,721
Baada ya Nape, Makamba na Kinana...limeibuka jingine. Simba na Yanga wao watacheza mwezi wa Pili. Hili suala wengi wanashindwa kulielewa maana watu wanauliza wanapoteaje? Ben Saanane.

Musiba kaja kaongea. Simon Msuva akajibu kuwa aulizwe Samata. Ndo Mkapa akaingilia baada ya kuona Nchi inateketea.kila mtu aanze kukimbia Polisi wanamwaga Majiwasha.

Ile risasi iliendaje kumuua Akwilina?Hata mimi nashangaa maana kama mwaka 2015 ilikuwa hivi. Ila sasa tumeamua hatukubali. Mwaka 2020 afe kipa afe beki.lazima kombe lichukuliwe.

Hivi ni vita hata Kenya ilianza hivi hivi...mwishowe wakaelewana.ndo maana walitufunga mechi ya jana.

Chakula bei imepanda.tutakunywa maji tu hamna shida. Kuku hafi kwa Utitiri.yote yatafanikiwa. Juzi alikuwa mshindi kesho atashindwa. CDM walikuwa wote na CCM wakawepo pia. Ila yote poa tu hakuna kulala.

Ndo leo sasa report imetoka ndugai naye yumo.wanaitwa fisimaji...hawa wanapatikana. CCM inawafaham wahusika wengi wa jambo hili.Uchunguzi unaendelea...unabisha nini?mi ndo nakwambia lissu ilikuwa lazima.kama huamini ndo nakwambia chui afe maana nu msaliti.

Yeye ndo kasema hivyo.kwani hukumbuki?sasa unauliza risasi zote zile wanaua nyati? Mi sijui itajulikana tu kamani manchester au chelsea zote zinacheza TPL usajili umekamilika.

Musiba anatumwa.kwenda sebuleni kutukana watu ni wendawazimu. Wanauliza nani mlinzi? Mi sielewi polisi si wapo? Kama karuka ukuta basi akamatwe.wala hakamatwi.nashangaa. dizeli bei yake ikoje? Mafuta ya kula je? Labda sukari.

Makamba alisema.wote tulisikia yohana anabatiza kwa moto.kipaimara hamna.ila walidhani mbwa kichaa anachagua wa kuuma.sasa hospitali madokta wanasemaje?mgonjwa amekataa uji anataka aende disco wakati hajui kucheza? Achana naye bwana.mgonjwa wazimu huyo ndo baba ako mzazi.si unamwona kavaa bwanga?

haya mi sina mengi ni hayo tu machache.
 
Nacheki kama naona kuna mzuzu na walakini 3,ingawa CCM pia category ndio kama uzi wa kule link lkn bado majibu ni sawa though kukaza na dola mtegemeo itapitia SGR,haina mbaya.

Kwa upande wa CDM mapito na ulindi vimefakamia sana sasa kinana kacheua na inakua na ma uzi uzi portable na uchunguzi utakua babkubwa sana.

Ntakuja kwa uchambuzi wa upande wa serikali
 
Duh, mkuu naona makande umechanganya na kunde mixer Choroko.

Asante kwa kunichekesha though.
 
Back
Top Bottom