Jinsi ya kusafirisha mbwa

Jinsi ya kusafirisha mbwa

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
Habari za jioni wadau ninataka kusafiri kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam na mbwa wangu nilikua naomba kwa wanaofahamu namna gani naweza kusafiri na mbwa wangu kwa kutumia usafiri wa public Ka mwenye uzoefu msaada tafadhali
 
Nadhani huwezi safirisha wanyama kwenye public transport
Habari za jioni wadau ninataka kusafiri kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam na mbwa wangu nilikua naomba kwa wanaofahamu namna gani naweza kusafiri na mbwa wangu kwa kutumia usafiri wa public Ka mwenye uzoefu msaada tafadhali
 
Nenda Idara Ya Mifugo Utapata Muongozo
Nadhani Mnakusudia Kupanda Dreamliner
 
Mvalishe pampas na mnununue zile mask za kuvaa mdomoni kisha mwogeshe vizuri weka ndani ya gari siti ya nyimabile shusha kioo chako kidooogoo ila apate hewa ya nje safari yako utafika
 
Tengeneza cage ya mbao,kisha fika idara ya mifugo hakikisha wamepata chanjo zote muhimu na vyeti,hususani kinga kichaa cha mbwa,kisha fanya booking magari ya wazi ya mizigo.
 
Mlipie siti ila iwe ya dirishani akitaka kukohoa mwambie atoe bichwa lake nje asisumbue abiria wenzake
 
Unakaa nae tu siti moja kama huna hela unampakata tu kama mtoto wako ngoma inogire
 
comments za wakuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom