Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Wana jamvi kama kichwa kinavyojieleza!! Nahitaji kusafirisha vitanda sita na makabati ya mbao, kwani ninahamisha familia kutoka songea kwenda Dodoma!!
Je nahitaji kuwa na vibali vyovyote!?
Je nahitaji kuwa na vibali vyovyote!?