Huruma iliyovuka kiwango

Huruma iliyovuka kiwango

Aisee wewe ni kama mm. Yani huwa nasaidia hadi nashangaa wakat mwingine nabaki bila pesa akati nimetoa pesa.

Lakini najifariji na neno linalosema mmepewa bure toeni bure. Hivi vitu tutaviacha hapahapa duniani boss
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
 
Nimebahatika kukutana na watu wa aina hii, kinachonisikitisha ni jinsi ambavyo watu wanavyowatumia vibaya sababu tu ya mioyo yao ya huruma na kujitoa, cha ajabu hawajishtukii kama wanatumiwa.
Ni hulka huwezi kuibadilisha kirahisi, na ukijilazimisha kuacha unakuwa unajiumiza.
Njia rahisi ni watu wanaokuzunguka waache kukutumia au wajue kusema inatosha.
 
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
Nadhani ni muumini wa huu wimbo:

Toa ndugu toaaaaa
ulichonachoooo
Bwana anakuonaaaaa
mpaka moyoni mwakoooo!
 
Karama yako ndugu

Kuna wengine kutoa ni maumivu makali sana

So endelea tu ,hilo ni kusudi la kuumbwa kwako

Kama karama hiyo inakufanya upate amani na furaha ...isiruhusu jf tukupangie maisha ya kuishi

After all life is to be hapy
 
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
Tatizo linaloonekana kwako ni kama vile huna malengo IMARA katika maisha yako.
Yaani kipato chako kiko holela, unapata kwanza ndio unafikiria cha kufanya. Kwa mtindo huo utatoa sana, maana mhitaji akija anakuta pesa yako iko iko tu.

Jifunze kupangia pesa yako kabla hujaipata. Na uwe na nidhamu kwa malengo uliyojiwekea.
Ukiweza kufanya hivyo hutapata taabu hiyo maana muda wote utakuwa huna fedha(holela).
 
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
Bora uwape mbwa, au vioze au tumia na malaya kuliko kumsaidia mswahili.
Narudia tena. Bora utumie hela yako na barmaid utaambulia kuchezea mapaja na maviuz kuliko kumsaidia mswahili awe ndugu au mpita njia.
Zikibaki wawekee wanao maana ni haki yao kula pesa yako.
 
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo
inaonekana mtoa mada unaweka hela ndani ama unajikweza kwa watu kuwa unahela nyingi maana yake hata za kukopesha ovyo unazo, nikushauri ishi maisha simple ukiombwa pesa jifunze kusema sina
 
Wakuu habari ya jumapili..
Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
Kadru unavyozidi kupata maumivu ndiyo roho yako itavyobadilika
 
Back
Top Bottom