Kwa Kauli hii ya Rais natabiri kuachiwa kwa Mashekhe wa Uamsho Muda wowote

MartinCoder

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
700
629
...
IMG_20190718_163713.jpeg
 
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
Kwanini kesi yao haisikilizwi kama kuna ushahidi wahukumiwe? Kesi zote zingekua zinaendeshwa na kuamuliwa kwa msingi huo kama unavyosema wewe kwamba "NYIE HAMJUI TU TULIPOKUA TUNAELEKE" basi ingekua hatari sana

Watu wanaowatetea hawa jamaa wanasema hawataki wapendelewe, kama wamefanya kosa na wahukumiwe, lakini pia wasionewe kama hivi ambavyo wapo ndani kama wamewekwa detention without trial
 
Kawanini kesi yao haisikilizi kama kuna ushahidi wahukumiwe? Kesi zote zingekua zinaendeshwa na kuamuliwa kama unavyosema wewe kwamba "NYIE HAMJUI TU TULIPOKUA TUNAELEKEA HAMJUI" basi ingekua hatari sana

Watu wanowatete hawa jamaa wanasema hawataki wapendelewe, kama wamefanya kosa na wahukumie lakini pia wasionewe kama hivi ambavyo wapo ndani kama wamewekwa detention without trial
Namshangaa huyo hapo juu anaesema hatujui kilichokuwa kinaendelea. Hivi mtuhumiwa akishathibitika si anahukumiwa? Sasa masheikh wawatu karibu mwaka wa 5 huu hakuna hukumu hakuna linaloendelea utasema Luna haki hapo.hii nchi imejaa uonevu Sana'a.
 
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
Mie Nakubaliana na hilo
Wale walikuwa sio watu wazuri kwa Taifa
 
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
Hyo kesi ya Uhujumu uchumi ya Askari wa Mwanza waliachiwa na kurudishwa kazini nadhani inaizd waliyonayo masheke wa uamsho sababu na ushahidi
Ulionekana , Lakini kwa kesi ya mashekhe haina ushahidi zaidi ya hisia tu
 
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
Wale wangeleta vurugu sana tu kule zenj, wangeweza hata kupindua govt sultan arudi
 
Rais alichosema leo Dodoma ni kwamba watu wanakaa maabusu miaka na miaka bila kuhukumiwa jambo ambalo kasema hataki kulisikia tena.
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
 
Endelea kuota, labda kama hawakushtakiwa na Feleshi, DPP yule alikuwa mtu wa haki sana na issue ya hao jamaa si ya kitoto, mnapiga mayowe tu sababu hamuijui na hamjui tulikokuwa tunaelekea kama hao wasingeshughulikiwa.
Unasema yote hayo bila kusema kwa nini kesi yao haijasikilizwa hadi leo. Na kama ushahidi upo wazi kama mnavyodai kwa nini hauwasilishwi mahakamani ili wahukumiwe??
 
Wale wangeleta vurugu sana tu kule zenj, wangeweza hata kupindua govt sultan arudi
Hyo adhabu waliokarishwa maabusu bila kuhukumiwa inatosha kama Askari 8 wa Mwanza waliokaa maabusu takriban miezi 5. Kwa miezi hiyo askari waliokaa maabusu imetosha kuwa fundisho kwa askari wengine kama Rais alivyosema
 
Back
Top Bottom