MSAADA:MAWASILIANO YA KAPUNGA RICE PROJECT LIMITED

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanausika na izalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya.

Nimejitahidi kusearch mawasiliano yako kwenye mtandao nimebahatika kupata namba fulani lakini naona haipatikani nadhani ni ya kotambo sana.Nitashukuru sana mkinisaidia hili wakuu.
 
Back
Top Bottom